Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Hii teknolojia wanayo Israel na Marekani.
Alafu Chief Hangaya juzi kawananga Wamarekani😅😅😅
Kuna vitu waafrika tunafanyaga hadi unauliza hivi ni kibuli au ujinga tu🤣
Ndo hapo sasa. Leo Kiko wapi?🤣🤣🤣🤣Kuna mtu alikuwa na pacemaker halafu anawasema vibaya mabeberu 😂😂
Hahahahah hatari sanaNdo hapo sasa. Leo Kiko wapi?🤣🤣🤣🤣
Hawa secret Service wa kwetu ni vihiyo watupu, kwanza wengine wamefika pale sio kwa sababu ya weredi Bali undugu, wengi wao ni form four failures, elimu kubwa waliyonayo ni kidato cha Sita.Haya mapinduzi ya kiteknolojia ya Israel ni ya hali ya juu sana na hayapaswi kufurahiwa sana
Yasifike tu huku Africa hasa Tanzania katika hali hii ya utekaji ,vingekuwa vinasingiziwa tu vifaa
Kama inabaki kuwa ni inasemekana tu basi hapo sawa.Kitendo hicho kinasemekana hakikuwahi kufanyika ulimwenguni.
Bangi hiziRahisi sana hiyo technology
Mshukuruni Mwalimu hii mbinu alimegewa na wa Israel. Otherwise bukoba ingekuwa ninsehemu ya UgandaWakati wa vita ya kagera.nduli aliomba msaada kwa gaddafi,majasusi jeshi TZ walivyo nasa mchongo,wakaufanyia kazi.
Ndege ya jeshi toka libya ikiwa na dhana kuelekea Uganda.ilijikuta ikitua Tanzania, kwani majasusi wali hack mawasiliano ya marubani.nakuiongoza toka inaliacha anga ya Ethiopia.
Kitendo hicho kinasemekana hakikuwahi kufanyika ulimwenguni.
Kwa hio mechanical system ina jamu.Ukishaweza kuvunja mawasiliano kwa watu kuviogopa vifaa vya mawasiliano unakuwa umemaliza vita kiaina, miongoni mwa teknolojia mpya ya Marekani ambayo amefundishwa na Israel na ambayo bado haijaanza kutumika ni, ku- jamm weapons /yaani silaha mnazokuwa nazo zina jamm zote!
Israeli inalinda maslahi ya watu wake. Wengine wanalinda wanavyovijua wao.Haya mapinduzi ya kiteknolojia ya Israel ni ya hali ya juu sana na hayapaswi kufurahiwa sana
Yasifike tu huku Africa hasa Tanzania katika hali hii ya utekaji ,vingekuwa vinasingiziwa tu vifaa
Utadukua vyote hapa utagonga mwambaRahisi sana hiyo technology