Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Ions! QKwa hio mechanical system ina jamu.
Bundiki iundwe na mrusi halafu Israel ana ijamusha eti ? Risasi haitoki. By mechanical mechanism haitoki ng'o !
Hii ndio Tanzania ya mama samia. Ngoja niishie hapa tu maana naweza kukifuru bure.
Mkuu cha ajabu ni kipi hapo? Au hujawahi kuona watu huwa wana "jam" mawasiliano kwa sababu za kiusalama?Haya mapinduzi ya kiteknolojia ya Israel ni ya hali ya juu sana na hayapaswi kufurahiwa sana
Yasifike tu huku Africa hasa Tanzania katika hali hii ya utekaji ,vingekuwa vinasingiziwa tu vifaa
Hiyo technology ni nyepesi tu taifa lolote linaweza kuwa nayo..usichokifahamu wewe ni kuwa kuna vipandikizi viliwekwa katika hizo pager.Hii teknolojia wanayo Israel na Marekani.
Alafu Chief Hangaya juzi kawananga Wamarekani😅😅😅
Kuna vitu waafrika tunafanyaga hadi unauliza hivi ni kibuli au ujinga tu🤣
Hazikulipuka simu na laptop.Haya mapinduzi ya kiteknolojia ya Israel ni ya hali ya juu sana na hayapaswi kufurahiwa sana
Yasifike tu huku Africa hasa Tanzania katika hali hii ya utekaji ,vingekuwa vinasingiziwa tu vifaa
Yahudi hafai. Huko kwa kina Delila hofu imetanda.Ila Yahudi nimemvulia kofia nasikia huko Lebanon watu wametupa hadi miwani zisiji kuwalipukia
Ni teknolojia nyepesi tu.Bangi hizi
Mama Anaamini sana Uganga,si umeona yeye Ndio wa kwanza kualika machiefu sijui ma nini,Mara wakaja kizimkazi.Hii teknolojia wanayo Israel na Marekani.
Alafu Chief Hangaya juzi kawananga Wamarekani😅😅😅
Kuna vitu waafrika tunafanyaga hadi unauliza hivi ni kibuli au ujinga tu🤣
Baba ni mwendo wa kula na mkono hawataki hata vijiko visije walipukiaIla Yahudi nimemvulia kofia nasikia huko Lebanon watu wametupa hadi miwani zisiji kuwalipukia
Wanasayansi wetu hawa. Ni matukio tayari yametekelezeka. Mwanatekteknorojia wa Tz unasema haiwezekani. Tuna safari sio hapaSimu hii ya betri ya lithium au kuna simu zingine ? Simu ikilipuka moto wake hauwezi kuzidi hata eneo la kiganja. Lithium battery ili ilipuke inahitaji joto la nje au iwe ktk umeme au iwe imeisha vimba. Simu ni kilipuzi pale kinapo pata external factor. Kwa fizikia ndogo sana ya o level.
Kama simu inalipuliwa mbali basi muundaji wa simu awe amehusika moja kwa moja vinginevyo simu haiwezi kulipuliwa na software vinginevyo ifanyiwe improvement na mtu mbaya.
Anyway ngoja waje wajuzi wa fizikia ya ndani wathibitishe jinsi mifumo ya mbali inavyoweza kuilipua simu. Inawezekana elimu yangu ipo shallow.
Sema kwa kusaidiwa na UrusiWakati wa vita ya kagera.nduli aliomba msaada kwa gaddafi,majasusi jeshi TZ walivyo nasa mchongo,wakaufanyia kazi.
Ndege ya jeshi toka libya ikiwa na dhana kuelekea Uganda.ilijikuta ikitua Tanzania, kwani majasusi wali hack mawasiliano ya marubani.nakuiongoza toka inaliacha anga ya Ethiopia.
Kitendo hicho kinasemekana hakikuwahi kufanyika ulimwenguni.
Uminielewa. Nimesema wapi heiwezekani. Weka fizikia hapa ya lithium battery kuwa bomu. Hakuna jipya chini ya jua tangu afe Einstein hakuna fizikia mapya, haipo.Wanasayansi wetu hawa. Ni matukio tayari yametekelezeka. Mwanatekteknorojia wa Tz unasema haiwezekani. Tuna safari sio hapa
Kitu chochote ambacho sio cha electronics hakiwezi jam au labda uzidishe mzigo.Mkuu cha ajabu ni kipi hapo? Au hujawahi kuona watu huwa wana "jam" mawasiliano kwa sababu za kiusalama?
Mkuu kwa kutumia simu au laptop unaweza ku'launch' explosive somewhere as long as such kind of explosive imekuwa decoded na software flani achana na hizo silaha ambazo ziko too mechanical kama AK 47, RL, RPD etc.Kitu chochote ambacho sio cha electronics hakiwezi jam au labda uzidishe mzigo.
Bunduki haiwezi jam kwa kulazimishwa nje ya bunduki, nyie watoto.Acheni story za kitoto.
WEWE JAMAA UNA AKILI SANA, UNASEMA KWELI.Kitu chochote ambacho sio cha electronics hakiwezi jam au labda uzidishe mzigo.
Bunduki haiwezi jam kwa kulazimishwa nje ya bunduki, nyie watoto.Acheni story za kitoto.
Hii ndio jamming?Moisture saturation, na chemical fulani sizitaji hapa ndicho kinachofanyika, humidity inazidishwa na kuform rust kali ya aina yake😂 so within 24 hrs hakuna kinacho operate!
Hii kitu mpaka leo 'mabeberu' wanashangaa hiyo mision ya TPDF...Wakati wa vita ya kagera.nduli aliomba msaada kwa gaddafi,majasusi jeshi TZ walivyo nasa mchongo,wakaufanyia kazi.
Ndege ya jeshi toka libya ikiwa na dhana kuelekea Uganda.ilijikuta ikitua Tanzania, kwani majasusi wali hack mawasiliano ya marubani.nakuiongoza toka inaliacha anga ya Ethiopia.
Kitendo hicho kinasemekana hakikuwahi kufanyika ulimwenguni.
noma sana ujasusiWakati wa vita ya kagera.nduli aliomba msaada kwa gaddafi,majasusi jeshi TZ walivyo nasa mchongo,wakaufanyia kazi.
Ndege ya jeshi toka libya ikiwa na dhana kuelekea Uganda.ilijikuta ikitua Tanzania, kwani majasusi wali hack mawasiliano ya marubani.nakuiongoza toka inaliacha anga ya Ethiopia.
Kitendo hicho kinasemekana hakikuwahi kufanyika ulimwenguni.
Acha ujingaNi teknolojia nyepesi tu.
Labda kama wewe hujui na hukuifuatilia.