Achana na Mamwinyi... kwa mfano mimi Babu yangu alikuwa full Mwarabu kasoro rangi tu!!! Mamangu anasema hadi Baba ake amefariki hakuwahi kumsikia akiongea kilugha cha kwao! Mwinyi aongee kilugha... thubutu!!!! Tusi lake kubwa lilikuwa "shet'waani mkubwa wewe!" Halafu hiyo "shet'waani" ina swaga zake za kuitamka na sio unaitamka kama mtu wa "maporini!"Dah....Mamwinyi walikuwa wengi hatari kila sehemu na vimbwanga vyake na watabe wake kwenye sector hiyo
sio uchochezi jamani, mbona mara nyingi hao wazee ni waislam tuu?
kama darisalama vileMikoa iliyokuwa na watu wa tabia ukiifatilia sana mpk sasa maendeleo yao ni ya kusuasua
Swali zuri, waarabu na wajerumani ndo waliowafunza waafrica uloziKama ndiyo hivyo mbona walishindwa kuwachachafya wakoloni walio watesa na kuwaonea? Kwa nini hawaku-waadabisha wazungu kwa kutumia elimu yao?
Hiyo si heshima bali shuruti.umenkumbsha wanyak mwaka iyo, kma kuna sehem kuna mzee/wazee wamekaa we ukapta na gar au baiskel bila kuwasalimia, kuna mawil, kupata kaajal kadogo mbele kdogo au gari kuzma we waibaisker kuna pacha au break kukatka ukaanguke. Hi ki2 ilweka heshma sana kwa vjana. Endapo ungesmama na kuwasalimia safar yako itaendelea vzur kabsa
Naskia huko mkikutana ili kujuana, unakuta mara mtu kabadilika kuwa mamba..... mwingine anabadilika kuwa joka.... kisha mnapeana mikono kwa appreciation.Kigoma, ujiji.