Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Kwa miezi miwili sasa kuna ndoto ya ajabu naiota, Namuomba Jah isiwe ya kweli ndoto hii! Kila nikijitahidi kuikwepa lakini bado naiota tu, ina secret cod iitwayo "the august". Ni mpango wa mauaji wa mgombea urais, Ndoto ni ndefu ina mikakati mingi inayohusu attaches zaidi ya 30.
Linaanzia jaribio la kwanza linakosa kwa upande wa kwanza, lakini ndani ya saa 24 upande wa pili linafanikiwa,
Nilipoanza kuota miezi miwili iliyopita ikafuatia jaribio la mapindizi Burundi nikadhani ndoto imetimia, lakini bado nikaendelea kuota tu,
Likafuatia tukio la mauaji ya kiongozi wa upinzani nchini Burundi nikafikiti tena kuwa ndoto imetimia, lakini bado naendelea kuota tu.
Hii ndoto ni mbaya maana hata mchana naota tu,
Ipi tafsiri ya ndoto hii??