Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kwa hali hiyo patachimbika basi mana hata na sisi jana habari yetu muliipata Mtani.Sisi tunatoa tu tahadhali,Hii inaitwa Mama mkanye mwanao ni ujumbe mzito kuelekea tar 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hali hiyo patachimbika basi mana hata na sisi jana habari yetu muliipata Mtani.Sisi tunatoa tu tahadhali,Hii inaitwa Mama mkanye mwanao ni ujumbe mzito kuelekea tar 4
[emoji818]Tunapiga tizi,Yanga soma hiyoooooo.tarehe 4 mtakunywa kama hizi
Anamshinda yule " Mwamba wa Lusaka"?Kahata ni mnyamaaaa,anapiga vitu
😅😅😅😅Kwa kipigo hicho siitambui.
Mwaka huu mwisho wetu ni ubingwa tu hakuna mbadalaHahahaaa. Eti eeee.
Ila mwisho wenyu tunaujua hivyo wala hamtupi presha.
Nasemea huku kwenye Kombe la FA hivyo wala hamtupi presha.Mwaka huu mwisho wetu ni ubingwa tu hakuna mbadala
Makombe yote ni yetu safari hiiNasemea huku kwenye Kombe la FA hivyo wala hamtupi presha.
Huko TPL pia mjikaze hasaa.
Kumbe kocha wake Ulimboka bingwa wa kubeba milungula?Arusha Football Club "AFC" WAJANJA WA A TOWN ni timu iliyoko daraja la kwanza kundi B ina point 16 Kocha wake kwa sasa ni Ulimboka Mwankingwe.... Timu hii inakabiliwa na ukata mkali
Sent using Jamii Forums mobile app
lakini leo mbona hajacheza vibaya apewe nafasi tu ili apate kujiaminiHuyu Wilker aachwe dirisha dogo.ni hasara tupu. Pumbavuu
Labda anazuga mkuu..anafanya dhihakaHauijui Arusha Football Club ?? Halafu unasema eti Wewe ni Mwana Arusha kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una maneno makali mkuuShadeeya, ukiona kaingia kwenye kinyang'anyiro cha kombe la FA sio mtoto tena ni mkubwa mwenzio huyo. Wee si unaona nyie mpaka mkapeleka nyuki, wangekua watoto wala msingehangaika
Ghazat kafanya Nini KandaWadau lengo lilikuwa kufunga mabao 10-0 lakini tumefikia 6-0 kulingana na kuwasha mitambo
Ila Deo Kanda habari nyingine..!
Kama huijui AFC hama mji, rudi kwenu.Mpaka sasa nasikia ni goli la tano, naambiwa timu inatokea Arusha ila mimi kama Mwana Arusha hata siijui.