Hii timu inayoshindiliwa magoli na Simba huko Dar ni ya wapi?

Nasemea huku kwenye Kombe la FA hivyo wala hamtupi presha.

Huko TPL pia mjikaze hasaa.
Tulivyo na roho mbaya tutawahonga FA watupangie Yanga tuwatoe mapema maana tukifika nao fainali tutawafunga kisha watashiriki confederation maana watakuwa washindi wa pili sasa ni kuwatoa mapema mwakani tutampeleka Azam confederation,kwenye ligi kuu bingwa anajulikana hata kabla haijaanza
 
Aiseee!! Hii ni zaidi ya roho mbaya Mkuu.

Ila mwisho wenu tunaujua hivyo wala hamna safari ndefu huku FA.
 
Tulia Shadeeya dawa iwaingie, mpira siku hizi hautaki longolongo, wekezeni mapesa timu yenu iwe ya ushindani vinginevyo mtawaona Lunyasi wanaroho mbaya kila siku maana watakua wanawashindilia magoli kama hawawajui vileee🤣🤣🤣
 
Arusha na mpira wap na wap....wanajua kubeba mfukoni nyembe na pisipisi tu....wanazidiwa hadi na kigoma
 
Tulia Shadeeya dawa iwaingie, mpira siku hizi hautaki longolongo, wekezeni mapesa timu yenu iwe ya ushindani vinginevyo mtawaona Lunyasi wanaroho mbaya kila siku maana watakua wanawashindilia magoli kama hawawajui vileee🤣🤣🤣
Tuko mbioni hivyo tutaelewana tu huko mbeleni. Na hapo ndio tutajua nani ni wa kwanza kuliona jua.
 
Njia pekee ya Nyuki Fc kuifunga SIMBA ni kuingia na refa wao na visu vya kuwachoma au kuwatisha wachezaj wa SIMBA.Vinginevyo kuna mchezaji anaenda kuvunja rekodi ya kibadeni.
 
Tulivyo na roho mbaya tutawahonga FA watupangie Yanga tuwatoe mapema maana tukifika nao fainali tutawafunga kisha watashiriki confederation maana watakuwa washindi wa pili sasa ni kuwatoa mapema mwakani tutampeleka Azam confederation,kwenye ligi kuu bingwa anajulikana hata kabla haijaanza
Unaongea pointi sana kwenye michezo ,ila hiyo AVATAR YAKO INAKUSHUSHIA HESHIMA!😡😡
 
Back
Top Bottom