M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 7,828 Reaction score 10,527 Dec 24, 2019 #61 Shadeeya said: 🤣🤣🤣 vumilia tu Mkuu ni mwanangu wa kwanza huyo na alishapata mwenza. 🤣🤣 Click to expand... Hongera ,kumbe umekula chumvi ehh! utakuwa umeshaanza kupata huduma ya matibabu bure sio!
Shadeeya said: 🤣🤣🤣 vumilia tu Mkuu ni mwanangu wa kwanza huyo na alishapata mwenza. 🤣🤣 Click to expand... Hongera ,kumbe umekula chumvi ehh! utakuwa umeshaanza kupata huduma ya matibabu bure sio!
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 Dec 24, 2019 #62 KYALOSANGI said: Hongera ,kumbe umekula chumvi ehh! utakuwa umeshaanza kupata huduma ya matibabu bure sio! Click to expand... Ndio Mkuu.
KYALOSANGI said: Hongera ,kumbe umekula chumvi ehh! utakuwa umeshaanza kupata huduma ya matibabu bure sio! Click to expand... Ndio Mkuu.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Dec 24, 2019 #63 nunua mechi hao tunawajua.
S Sesten Zakazaka JF-Expert Member Joined Sep 10, 2017 Posts 10,559 Reaction score 19,101 Dec 25, 2019 #64 Shadeeya said: Tuko mbioni hivyo tutaelewana tu huko mbeleni. Na hapo ndio tutajua nani ni wa kwanza kuliona jua. Click to expand... Kuanza kuzaliwa sio kua na akili ijue Shadeeya🤣🤣🤣
Shadeeya said: Tuko mbioni hivyo tutaelewana tu huko mbeleni. Na hapo ndio tutajua nani ni wa kwanza kuliona jua. Click to expand... Kuanza kuzaliwa sio kua na akili ijue Shadeeya🤣🤣🤣