Hii timu isajiliwe huko kwenye taasisi za Siasa ijulikane Moja

Simba lunyasi

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2022
Posts
385
Reaction score
840
Mara utasikia wameenda kuonana na Raisi wa Nchi Fulani, mara utawasikia wanaimba nyimbo za Chama Fulani cha Siasa wakifunga goli, mara unasikia Chama Fulani Cha Siasa kimepeleka wanachama wake kwenda Nchi jilani kuishangilia, Mara utasikia wametembelea ubalozi wa nchi fulani.

Mara utasikia Raisi wa Nchi Fulani ametoa ndege iwapeleke kwenda kucheza huko ugenini, mara utawasikia wametoa rambirambi kwa wakimbizi wa Nchi jilani n.k..

Haya yote yanafanywa na timu ya mpira wa miguu? Hivi Hawa si waende kushiriki Siasa tu ijulikane Moja?
Mana huku kwenye mpira hakuwafai..
 
Utateseka sana na timu ya wananchi
 
Kutokana na ufinyu wa akili zao hakuna atakayekuelewa kule Ubongo wote ulishanyofolewa. Wee huoni hata siku ya Mwananchi Wanavyoimbishwa nyimbo kama vitoto vya Chekechea utaskia jiesiem jiesiem jiesiem kutwa nzima.
Juzi wameenda Rwanda na tule tu school bus BUS ZIMA LIMEPIGWA LOGO ZA GSM hakuna neno Yanga. So wameshaonekana wana akili visoda ndio maaana wanapelekwa kama bus bovu tuuu wanakenua tuu
 
Wewe utakuwa ni kijana wa
Rage bila shaka. Young Africans maana yake ni Aijana wa Afrika.

Kwa hiyo Yanga siyo timu ya Tanzania pekee! Hii ni timu ya Bara zima la Afrika.
Timu ya bara zima la Africa? Hata kule Senegal wanaelewa hivyo? Anyway, kujipa sifa usizostahili pengine ni kawaida kwa watu wa hovyo. Ni sawa na Idi Amin kujiita 'King of all birds and fishes' huku hao ndege na samaki wakiwa hawamjui hata kwa sura.
 
Mkuu tuliaaaah hapo ulipo...angalia kushoto na kulia,rudia Tena angalia mbele na nyuma,kushoto na kulia...SASA VUKA BARABARA...HAKIKISHA UNAVUKIA PALE PALIPOCHORWA VIMISTARI VYEUPE NA VYEUSI...POLE SANA MKUU,YATAISHA TU HAYA
 
Kule wenye akili ni wawili tu mkuu
 
Unaelewa kweli tafsiri halisi ya neno Young Africans Sports Club?

Unaelewa kweli tafsiri halisi ya neno Young Africans Sports Club?
Ila nawewe kwa siku za hivi karibuni umekuwa ukikoment kitoto sana japo ni miongoni mwa wanajamii forum niliokuwa nawafuatilia sijui umekuwaje now.
 
Nyie Mo Akiwatingishia tu makalio wote mnaanza kumlilia tajiri, mna akili gani? Kwanza mwenyekiti wenu ana elimu ya la saba.pale kwenye kamati kuu naomi Sana ana degree 1
 
.......Pole unateseka eeeh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…