Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Mara utasikia wameenda kuonana na Raisi wa Nchi Fulani, mara utawasikia wanaimba nyimbo za Chama Fulani cha Siasa wakifunga goli, mara unasikia Chama Fulani Cha Siasa kimepeleka wanachama wake kwenda Nchi jilani kuishangilia, Mara utasikia wametembelea ubalozi wa nchi fulani.
Mara utasikia Raisi wa Nchi Fulani ametoa ndege iwapeleke kwenda kucheza huko ugenini, mara utawasikia wametoa rambirambi kwa wakimbizi wa Nchi jilani n.k..
Haya yote yanafanywa na timu ya mpira wa miguu? Hivi Hawa si waende kushiriki Siasa tu ijulikane Moja?
Mana huku kwenye mpira hakuwafai..