Hii timu isajiliwe huko kwenye taasisi za Siasa ijulikane Moja

Mikia mnaumizwa sana na namna Yanga inavyoendesha mambo yake.........badala ya kuhangaika na timu yenu macho yenu yanahaha kujua Yanga inafanya nini........ anyway wengi wenu ni Wananchi wa Tz , automatically nyie ni Young Africans FC ndiyo maana 24/7 mko busy na timu yenu ya moyoni
 
Utajinyea bure
 
yanga ni timu ya kila mtanzania mpk wewe mwenyewe sema hujui tu,siku ukijua ndo utajua ulikuwa hujui
 
Wewe utakuwa ni kijana wa
Rage bila shaka. Young Africans maana yake ni Aijana wa Afrika.

Kwa hiyo Yanga siyo timu ya Tanzania pekee! Hii ni timu ya Bara zima la Afrika.
"Young Africans maana yake ni Aijana wa Afrika"! Itakuwa kwa lugha ya kikwenu, hebu tafsiri kwa kiswshili.
 
unaonaje kama unakerwa kajambe?
 
Roho inauma kwa kweli, yaani kila siku Raisi wa Yanga anakutana na maraisi wenzake. Nateseka mie.
 
Timu ya bara zima la Africa? Hata kule Senegal wanaelewa hivyo? Anyway, kujipa sifa usizostahili pengine ni kawaida kwa watu wa hovyo. Ni sawa na Idi Amin kujiita 'King of all birds and fishes' huku hao ndege na samaki wakiwa hawamjui hata kwa sura.
Aahaaaa
 
Kweli we lunyasi maana kwa huu ushubwada ulioandika ntashangaa kama ulifikiria kabla ya kuandika, kwa kifupi timu ni sehemu ya jamii, yote inaweza kufanya kwa sababu inatuunganidha wanajamii wote

Ingekuwa imeenda kwenye kampeni na kupiga debe apigiwe kura fulani hapo sawa, vinginevyo acha wazee wa kazi wasukume gozi, sasa we endelea kuchonga si tunasubiri kuona nani mwakani atanyanyua makwapa na kombe mikononi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…