Mwenyekiti wa timu anaitisha mkutano wa dharula bila kufata katiba
Mkutano unahusisha wanachama wa dar pekee ila unafanya maamuzi wa Tanzania nzima
Mwenyekiti anavua kwanza uanachama watu kadhaa ili kutishia wengine wasimpinge
Analeta ajenda ya dharula kuwa timu inapaswa kukodishwa ili ien deshwe kisasa
Haweki vigezo vya mtu kutimiza ili aikodi labda kuna wengine pia watakuwa interested
Anajipa mamlaka ya kukodi team bure bila hata kutoa sumuni(hata ukumbi ukikodi unalipia jaman)
Anawadanganya wanachama kuwa team ilikuwa inajiendesha kwa hasara wakati yeye ndiye mwenyekiti(kama inajiendesha kwa hasara je muuza duka anaweza kumuomba bosi wake akodi duka lake wakati yeye ndo huwa anauza na anajua duka lile halina faida zaido ya hasara?)
Anatengeneza mkataba mwenyewe
Anataka ausain mwenyewe pande zote mbili za mwenykiti wa timu anayeruhusu timu ikodishwe na sehem ya mkodishaji
Anawaaambia watu hana shida na uwanja wala jengo( kwani timu ni uwanja na jengo au nembo na timu?) maana hata awaachie jenngo lile mtafanyia nini? Uwanja ule nani anaweza japo ukodisha aweke kigodoro pale?
Tuseme ukwelo sisi watanzania ni wajinga sana aiseee
Me naona tuache kuipigia kelele serikali kuwa inasain mikataba mibovu ya madini na gesi wakati sisi mkataba wa kijinga kama huu ambao upo wazi tumeshangilia usainiwe
Halaf alivyo na akili ndogo anawaambia ataendesha timu na faida 75 ni yake na 25 yenu....miaka miwili kawaambia timu inajiendesha kiharasa ivi miaka 10 hiyo pia akiwaambia timu ilikuwa inajiendesha kwa hasara mtakataaaje? Ye ndo mwenyekiti na mwenye timu
Ukweli sisi ni malofa