Hii utaikuta Tanzania pekee

Hii utaikuta Tanzania pekee

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,053
Reaction score
1,418
Mwenyekiti wa timu anaitisha mkutano wa dharula bila kufata katiba

Mkutano unahusisha wanachama wa dar pekee ila unafanya maamuzi wa Tanzania nzima

Mwenyekiti anavua kwanza uanachama watu kadhaa ili kutishia wengine wasimpinge

Analeta ajenda ya dharula kuwa timu inapaswa kukodishwa ili ien deshwe kisasa

Haweki vigezo vya mtu kutimiza ili aikodi labda kuna wengine pia watakuwa interested

Anajipa mamlaka ya kukodi team bure bila hata kutoa sumuni(hata ukumbi ukikodi unalipia jaman)

Anawadanganya wanachama kuwa team ilikuwa inajiendesha kwa hasara wakati yeye ndiye mwenyekiti(kama inajiendesha kwa hasara je muuza duka anaweza kumuomba bosi wake akodi duka lake wakati yeye ndo huwa anauza na anajua duka lile halina faida zaido ya hasara?)

Anatengeneza mkataba mwenyewe

Anataka ausain mwenyewe pande zote mbili za mwenykiti wa timu anayeruhusu timu ikodishwe na sehem ya mkodishaji

Anawaaambia watu hana shida na uwanja wala jengo( kwani timu ni uwanja na jengo au nembo na timu?) maana hata awaachie jenngo lile mtafanyia nini? Uwanja ule nani anaweza japo ukodisha aweke kigodoro pale?

Tuseme ukwelo sisi watanzania ni wajinga sana aiseee

Me naona tuache kuipigia kelele serikali kuwa inasain mikataba mibovu ya madini na gesi wakati sisi mkataba wa kijinga kama huu ambao upo wazi tumeshangilia usainiwe

Halaf alivyo na akili ndogo anawaambia ataendesha timu na faida 75 ni yake na 25 yenu....miaka miwili kawaambia timu inajiendesha kiharasa ivi miaka 10 hiyo pia akiwaambia timu ilikuwa inajiendesha kwa hasara mtakataaaje? Ye ndo mwenyekiti na mwenye timu

Ukweli sisi ni malofa
 
Bongo hii, ukifanya tathmini, karibia taasisi zote ni zinaendeshwa kiujanjaujanja tu. Ni vigumu kupata maendeleo.
 
Sasa hiyo timu mnaing'ang'ania ya nini wakati hata kuindesha hamuwezi, mwacheni mo awasaidie kuindesha
 
Ni kweli hili jambo linahitaji kujadili na kutolewa maamuzi ambayo yatatoa dira ya maendeleo ya miaka 10 au zaidi.Dewji si mwarobaini wa matatizo ya Yanga bali yeye ni sehemu ya matatizo ya Yanga kumwachia timu kijanja janja ni sawa na kutafuta tiba ya malaria wakati mgongwa anaumwa TB.
 
Moo kununua 51% kwa 20bn hamtaki, Manji kukodisha timu hamtaki. Mnataka nini watanganyika? Mmekuwa watu wakulalamika kila kitu bila kutoa mapendekezo au suluhisho mnasubiri mambo yaharibike ili mfanye kile mnachojua kulalamika.

Toa mapendekezo yako
 
Hakuna anayewakataa hao watu tatizo ni pale wanapojipangia....unapangaje kuwa bil 20 ni 51 share? Je hakuna uhuru wa mtu mwingine kuweka dau zaid?

Pili unajikodishaje timu kienyeji ivyo? Tena bure? Inamana team haina thaman yoyote?
 
Uliambiwa timu igeuzwe kuwa kampuni ukapiga kelele! Leo timu imekodishwa napo unapiga kelele! Ulishawahi kutoa hata thumuni (Sijui tulikuwa tunaita hivyo? ama Sumuni?) kwa ajili ya wachezaji kununulia maji kambini wewe? Ujanja ujanja wenu wa kukaa milangoni na kupiga cha juu umefikia tamati, mwaka huu mtajibeba! Kila timu ikisafiri kwenda mikoani nyie mnatangulia kabisa kwenda kuandaa mazingira, makomandoo bwana!! Sasa hiyo fursa haipo tena!!
 
Hakuna anayewakataa hao watu tatizo ni pale wanapojipangia....unapangaje kuwa bil 20 ni 51 share? Je hakuna uhuru wa mtu mwingine kuweka dau zaid?

Pili unajikodishaje timu kienyeji ivyo? Tena bure? Inamana team haina thaman yoyote?
Kuna katazo kwamba mtu mwingine hawezi kupanda dau!? Kama yupo si ajitokeze, hajawahi jitokeza mtu na hatojitokeza mtu. Wazee wa simba wanagoma Sababu kuna ulaji wanapata kupitia Simba. Wanakuja na mapendekezo mufilisi eti Mo achukue 40% kwa 20bn wao bila hata cent moja wachukue 60%. Huu ni upuuuzi

Kwa Yanga ni kitu kile kile hakuna katazo la mtu kushauri au kupanda Dau. Tatizo watu wanalalamika ila hawajui nini kifanyike ili timu zipige hatua Kazi yao ni kulalamika tu. Wanadhani kuna mtu atakuja na 100bn kununua haya matimu, Hakuna mtu wa kuzinunua. Timu zenyewe hazijui thamani zake zaidi ya kubashiri tu.

Mo na Manji wamefungua njia hizi timu zijifanyie evaluation zijue thamani zao na zijue vipi zinasonga mbele, either kwa kuwapa timu au la! So far hizi timu hazijui thamani zao so bei yeyote itayowekwa mezani ni sawa na mtu anaweza panda kuanzia hapo
 
Mwenyekiti wa timu anaitisha mkutano wa dharula bila kufata katiba

Mkutano unahusisha wanachama wa dar pekee ila unafanya maamuzi wa Tanzania nzima

Mwenyekiti anavua kwanza uanachama watu kadhaa ili kutishia wengine wasimpinge

Analeta ajenda ya dharula kuwa timu inapaswa kukodishwa ili ien deshwe kisasa

Haweki vigezo vya mtu kutimiza ili aikodi labda kuna wengine pia watakuwa interested

Anajipa mamlaka ya kukodi team bure bila hata kutoa sumuni(hata ukumbi ukikodi unalipia jaman)

Anawadanganya wanachama kuwa team ilikuwa inajiendesha kwa hasara wakati yeye ndiye mwenyekiti(kama inajiendesha kwa hasara je muuza duka anaweza kumuomba bosi wake akodi duka lake wakati yeye ndo huwa anauza na anajua duka lile halina faida zaido ya hasara?)

Anatengeneza mkataba mwenyewe

Anataka ausain mwenyewe pande zote mbili za mwenykiti wa timu anayeruhusu timu ikodishwe na sehem ya mkodishaji

Anawaaambia watu hana shida na uwanja wala jengo( kwani timu ni uwanja na jengo au nembo na timu?) maana hata awaachie jenngo lile mtafanyia nini? Uwanja ule nani anaweza japo ukodisha aweke kigodoro pale?

Tuseme ukwelo sisi watanzania ni wajinga sana aiseee

Me naona tuache kuipigia kelele serikali kuwa inasain mikataba mibovu ya madini na gesi wakati sisi mkataba wa kijinga kama huu ambao upo wazi tumeshangilia usainiwe

Halaf alivyo na akili ndogo anawaambia ataendesha timu na faida 75 ni yake na 25 yenu....miaka miwili kawaambia timu inajiendesha kiharasa ivi miaka 10 hiyo pia akiwaambia timu ilikuwa inajiendesha kwa hasara mtakataaaje? Ye ndo mwenyekiti na mwenye timu

Ukweli sisi ni malofa
Yanga wawe makini, huyu jamaa aliwatapeli waislam kiwanja mpaka Leo.
 
Ni kweli hili jambo linahitaji kujadili na kutolewa maamuzi ambayo yatatoa dira ya maendeleo ya miaka 10 au zaidi.Dewji si mwarobaini wa matatizo ya Yanga bali yeye ni sehemu ya matatizo ya Yanga kumwachia timu kijanja janja ni sawa na kutafuta tiba ya malaria wakati mgongwa anaumwa TB.
Dewji ama Manji? Au Dewji kaamua kubeba zote mbili?
 
nasikia huko msimbazi mmekua sio simba tena bali ng'ombe kila mtu moo
Kama huyu?
1470727581000.jpg
 
Team inakodishwa bure [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji7][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mwenyekiti wa timu anaitisha mkutano wa dharula bila kufata katiba

Mkutano unahusisha wanachama wa dar pekee ila unafanya maamuzi wa Tanzania nzima

Mwenyekiti anavua kwanza uanachama watu kadhaa ili kutishia wengine wasimpinge

Analeta ajenda ya dharula kuwa timu inapaswa kukodishwa ili ien deshwe kisasa

Haweki vigezo vya mtu kutimiza ili aikodi labda kuna wengine pia watakuwa interested

Anajipa mamlaka ya kukodi team bure bila hata kutoa sumuni(hata ukumbi ukikodi unalipia jaman)

Anawadanganya wanachama kuwa team ilikuwa inajiendesha kwa hasara wakati yeye ndiye mwenyekiti(kama inajiendesha kwa hasara je muuza duka anaweza kumuomba bosi wake akodi duka lake wakati yeye ndo huwa anauza na anajua duka lile halina faida zaido ya hasara?)

Anatengeneza mkataba mwenyewe

Anataka ausain mwenyewe pande zote mbili za mwenykiti wa timu anayeruhusu timu ikodishwe na sehem ya mkodishaji

Anawaaambia watu hana shida na uwanja wala jengo( kwani timu ni uwanja na jengo au nembo na timu?) maana hata awaachie jenngo lile mtafanyia nini? Uwanja ule nani anaweza japo ukodisha aweke kigodoro pale?

Tuseme ukwelo sisi watanzania ni wajinga sana aiseee

Me naona tuache kuipigia kelele serikali kuwa inasain mikataba mibovu ya madini na gesi wakati sisi mkataba wa kijinga kama huu ambao upo wazi tumeshangilia usainiwe

Halaf alivyo na akili ndogo anawaambia ataendesha timu na faida 75 ni yake na 25 yenu....miaka miwili kawaambia timu inajiendesha kiharasa ivi miaka 10 hiyo pia akiwaambia timu ilikuwa inajiendesha kwa hasara mtakataaaje? Ye ndo mwenyekiti na mwenye timu

Ukweli sisi ni malofa

Mkuu punguza hasira, na maneno ya kuudhi.

Lakini tukirudi kwenye hoja, ukweli una hoja ya msingi sana. Manji ameshajipa umungu-mtu pale Yanga anafanya apendavyo yeye. Huwezi kuitisha mkutano wa dharura ndani ya wiki moja, kwa hoja dhaifu ya kiwango hiki. Anawahi nini? Anamzuia nani?

Hoja yake ya kuigeuza Yanga ijiendeshe kisasa sio mbaya, lakini ni kwa nini mfumo huu tu, na kwa nini iwe ni kwa dharura? Makamu M/kiti wa Yanga, Clement Sanga jana anahojiwa na Clouds Tv anasema Manji kuna vitu hakumshirikisha ila anasema tuache kujadili hilo, tuijadili hoja husika. Ninavyomfahamu Sanga ni mtu makini, muungwana na mwenye nidhamu kubwa, kauli yake hii ina maana kubwa sana. Manji anaburuza wenzake na maadamu hapajawa na matatizo makubwa pale Yanga kwa muda watu wengi hawataelewa lakini ipo siku wenye timu watakuja kushituka while it is too late.
 
Mie naona afadhali huyu anayetaka kuinunua kwa 20bn, anaweza kushawishiwa hizo 20bn apewe 35% share atafutwe mwingine wa 15bn apwe 25% then hela zikajengee jengo lao na wao wapewe timu na wanachama wauziwe remaining 35%share na zilizobaki wauziwe matajiri wengine kwa ajili ya kupata hela zaidi ya kuiendesha timu
 
Back
Top Bottom