Akili zako kama funzaWenye soka wameona inafaa sasa wewe unampira gani hadi uone haifai.Mambo mengine lazima yewepo ili maisha yaendelee. unadhani aliyegundua huo mfumo akujipanga kabla kujua soko litakuaje.Hii haina tofauti na aliyegundua kusajili namba ya simu kwa alama ya kidole, maana yake tayari alishajua mahitaji yapo kwaiyo nayeye akapitia hapo hapo.kwaiyo kupambana na mifumo inayotoa fursa kwa watu ni ngumu sana.
VAR inashindwa kutokana na utashi wa waamuzi, Ila yenyewe ipo clear na ni suruhisho sahihi , changamoto zake ndog sana , mwamuz anaweza akaamua aende kwenye VAR au asiende,na hata kama akienda yeye ndo mwenye maamuz ya Mwisho kulingana na alichokiona.VAR ni Ujinga Mtupuuuuuuuu....Hata wao walitoa analysis ilionesha namna gani VAR imeshundwa kufanya maamuzi sahihi! Nashangaa kwanini hawakuitumia ile analysis kuipiga chini VAR
Acha ubishi,mzungu kakuzidi mbali kifikra hadi nguo ya ndani uliyovaa hapo kipindi zinaletwa mababu zetu walizipinga kama ww unavyoleta ubishi dhidi ya VAR ila kiukweli VAR imesaidia sana,mengine ni makosa ya refa kukauishia baadhi ya vitu bila kwenda kufanya reference kwenye,Kama timu yako ilikuwa inafunga kiwizi wizi basi mjipange upya mkuu kufit kwenye systemToka mwaka huu uanze sijaona reasoning ya kijinga kama hii,
Hivi mkuu unaangalia kweli mpira au unaangalia kwa bahatisha na mechi mojamoja?
Yaani kama kweli unaangalia soko huwezi bisha kama VAR inazingua
Kuonyesha hii comment ni ya ajabu unashabihisha na usajili wa laini za simu kwa alama za vidole
Yaani huoni kama kuna lengo kubwa sana la kiusalama kwa huo usajili?
Actually lengo la VAR lilikuwa zuri sana na ilikuwa ni kwa ajili ya kupunguza kama sio kuondoa kabisa makosa ya kiamuzi ground
Ila inavyoendeshwa na kutendeka ni kwamba inaharibu zaidi
Sasa ukiwa mpumbavu na kushindwa kureason na kuona kila kinachoamuliw na watu fulani ni sahihi basi huo ni ulemavu.
Tatizo ushabiki wako au hukutaka kufuatilia kwann haikuwekea penaltiIle game ya Liverfools na Man Shitty VAR iligoma ama vipi?
Ndio maana tunasema ushabiki ndio tatizo ndipo lilipoanzia na sio VAR maana VAR ilionyesha rafu aliyochezewa hata kabla hawajashambuliwa Madrid ambapo bila VAR Cortour alikuwa anakula red na inapigwa penalti na huu ungekuwa uonevu kwa Madrid maana mpira ambao ulipelekea hayo yote ulipatikana kwa njia ya rafu,kwa kifupi mzungu anakuzid mbali take time na utaelewa taratibu umuhimu wa VAR maana kila unachotumia leo kama zao la mzungu kilipingwa mno mwanzoni ila Leo wahuni mnapeta navyoLeo 26/11/2019 Madrid vs psg Hilo dude var limearibu mpira.
Niambie basi kwanini VAR haikutumika siku ile?Tatizo ushabiki wako au hukutaka kufuatilia kwann haikuwekea penalti
Iligoma ktk tukio ganiIle game ya Liverfools na Man Shitty VAR iligoma ama vipi?
Ile sio penati,kuna mtu alinawa beforeNiambie basi kwanini VAR haikutumika siku ile?
Kawaida panapokuwa na mashaka, mpira husimama kuondoa utata ila naona haukusimama mpira ama vipi?Ile sio penati,kuna mtu alinawa before
Unachosema ni kweli,sasa hilo ni kosa la refa maana hata VAR isingekwepo ingekuwa the same tu mkuuKawaida panapokuwa na mashaka, mpira husimama kuondoa utata ila naona haukusimama mpira ama vipi?
Tatizo la waafrika ni wavivu kufikiri sana,baada ya timu Fulani kuwa na magoli ya wizi mengi basi wanaanza kuisingizia VAR haifai,binafsi nimecheki game nyingi za EPL za msimu huu na sijaona makosa ya VAR,ila nnachokiona hapa ni ushabiki maandazi wa timu Fulani ndio unaofanya VAR isemwe kuwa inaharibu ila binafsi naona imeleta usawa sana,msimu uliopita Man City alishinda 2-1 dhidi ya Liverpool ila kuna goli liver alishinda mpira ulivuka mstari robo tatu ila refa akalikata wala hakutaka reference pia dakika za lala salama beki wa Man City alinawa mpira na ilikuwa clear kabisa kanawa mpira ila refa akapeta hakutaka hata msaada wa kibendera ila msimu huu City anaenyeshwa na VAR sana sababu walizoea slope sana,Leo kuna usawa watu wanasema eti VAR haifai ila yote hii ni ushabiki tu
In any case, refa alitakiwa asimamishe mpira na VAR itizamwe ili pande zote zijiridhishe. Kitendo cha refa kupeta, basi tayari kinaonesha kuwa ndio dhamira iliokuwepo kuwanyima city tu.Unachosema ni kweli,sasa hilo ni kosa la refa maana hata VAR isingekwepo ingekuwa the same tu mkuu
Acha ubishi,mzungu kakuzidi mbali kifikra hadi nguo ya ndani uliyovaa hapo kipindi zinaletwa mababu zetu walizipinga kama ww unavyoleta ubishi dhidi ya VAR ila kiukweli VAR imesaidia sana,mengine ni makosa ya refa kukauishia baadhi ya vitu bila kwenda kufanya reference kwenye,Kama timu yako ilikuwa inafunga kiwizi wizi basi mjipange upya mkuu kufit kwenye system
Tatizo la waafrika ni wavivu kufikiri sana,baada ya timu Fulani kuwa na magoli ya wizi mengi basi wanaanza kuisingizia VAR haifai,binafsi nimecheki game nyingi za EPL za msimu huu na sijaona makosa ya VAR,ila nnachokiona hapa ni ushabiki maandazi wa timu Fulani ndio unaofanya VAR isemwe kuwa inaharibu ila binafsi naona imeleta usawa sana,msimu uliopita Man City alishinda 2-1 dhidi ya Liverpool ila kuna goli liver alishinda mpira ulivuka mstari robo tatu ila refa akalikata wala hakutaka reference pia dakika za lala salama beki wa Man City alinawa mpira na ilikuwa clear kabisa kanawa mpira ila refa akapeta hakutaka hata msaada wa kibendera ila msimu huu City anaenyeshwa na VAR sana sababu walizoea slope sana,Leo kuna usawa watu wanasema eti VAR haifai ila yote hii ni ushabiki tu
Kanuni ya goli inataka mpira uvuke mstari 100%, Goli ni tarakimu 1, ni number kamili, mpira ukiingia robo tatu basi hilo goli kimahesabu inatakiwa liandikwe 0.75 goal!!Na goli linatakiwa liwe kitu kamili ndio maana halikuwa goal, by the way kuhusu mpira kuvuka haichekiwi na VAR Bali goal line technology inayotuma ishara ktk saa aliyovaa refa,!!Tatizo la waafrika ni wavivu kufikiri sana,baada ya timu Fulani kuwa na magoli ya wizi mengi basi wanaanza kuisingizia VAR haifai,binafsi nimecheki game nyingi za EPL za msimu huu na sijaona makosa ya VAR,ila nnachokiona hapa ni ushabiki maandazi wa timu Fulani ndio unaofanya VAR isemwe kuwa inaharibu ila binafsi naona imeleta usawa sana,msimu uliopita Man City alishinda 2-1 dhidi ya Liverpool ila kuna goli liver alishinda mpira ulivuka mstari robo tatu ila refa akalikata wala hakutaka reference pia dakika za lala salama beki wa Man City alinawa mpira na ilikuwa clear kabisa kanawa mpira ila refa akapeta hakutaka hata msaada wa kibendera ila msimu huu City anaenyeshwa na VAR sana sababu walizoea slope sana,Leo kuna usawa watu wanasema eti VAR haifai ila yote hii ni ushabiki tu