Hii VAR ni muda umefika wa kupigwa stop

Swali ni moja kabla ya VAR na baada ya VAR kipindi kipi kilikuwa na makosa zaidi?
 
Hayo ni makosa ya Refa na sio VAR,kama umenielewa utaelewa wanapochanganya wengi makosa ya refa wanayaita madhaifu ya VAR,maana VAR isingekwepo hilo goli lingekataliwa
 
Swali ni moja kabla ya VAR na baada ya VAR kipindi kipi kilikuwa na makosa zaidi?

Tumeleta VAR ili iweje?

Tumeleta VAR ili kuwe na perfection fulani hata kama sio 100% basi iwe walau 95+%

Hii VAR ukiangalia ilivyo sasa hata 50% sidhani kama inafika maamuzi ya kijinga na yasiyo na maana mara kazido kichwa sijui mguu ndo kitu gani,

Mtu anachezewa rafu mapema kabisa zinapita almost pasi 10 kumi goli linafungwa wanakwenda kwenye VAR si ujinga huo.
 
siyo kweli , VAR inatumika kuipa ubingwaLIVERPOOL
Huo ni mtizamo wako mkuu,ila unachopaswa kuelewa Liverpool kapambana sana huu msimu,yaan kafungwa mechi moja tu msimu katika makombe yote anayoshiriki sasa nashangaa kuona mnasema Liverpool anabebwa kuchukua Kombe wakati hao waliobakia karibia kila timu imefungwa si chini ya mechi mbili kwa EPL bila kuhusisha makombe mengine,kuna muda tuwe tunaacha ushabiki mkuu na tustick kwenye ukweli,hao akina Man City,Chelsea,Arsenal na Spurs wanapigwa na akina Sheff,Norwich na Brighton halafu mnkuja kuwafananisha na Liver ambayo ni unbeaten mpaka sasa kwa kudraw game na MUFC,Nahitimisha kwa kusema Mimi ni Shabiki wa Ole Squard @UshabikiPembeniUkweliKwanza
 
Kwan hizo sheria zinatungwa wakati wa mchezo kana kwamba zinakuwa ngeni kwako au kwa wachezaji?
 
Hayo ni makosa ya Refa na sio VAR,kama umenielewa utaelewa wanapochanganya wengi makosa ya refa wanayaita madhaifu ya VAR,maana VAR isingekwepo hilo goli lingekataliwa
Ndio refa ameplay his part kusaidia timu. Refa ndio anatoa call ya VAR itizamwe na anapouchana anaaminisha kuwa VAR haihitajiki kila kitu kipo clear wakati sio kweli
 
Wadau naomba kama kuna admin wa magroup ya michezo whtsp aniunganishe
0766721492
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…