Hii video ameipost msanii Roma. Je, una maoni gani kuihusu?

Yofav

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
4,236
Reaction score
7,583
Ila huyu mzee sijui mzee nani maana kanyooka kama rula๐Ÿ˜

Your browser is not able to display this video.

Mwishoni anakuambia
"๐Ÿ—ฃ๏ธ Aaaah Chakula safiii, Chakula safiii Aaah Chakula safi kabisaaa๐Ÿ˜"
 
Ila huyu mzee sijui mzee nani maana kanyooka kama rula๐Ÿ˜
View attachment 2972944
Dah!
Mahojiano ya ajabu sana haya!

Inasikitisha, lakini naanza kuwaza pia, kama hali ni hii na hawa viongozi wa upinzani uchwara; yale ya MAAFIKIANO na Mbowe yatakuwaje?
Bahati mbaya sana nchi hii tumeipata.
 
Huyu mtangazaji anatumia jina gan IG huwa napenda kipindi chake
Huyo ni mtangazaji usiyeweza kumlinganisha na mwingine yeyote katika nyakati hizi za 'uchawa'. Najuwa sijajibu swali lako, kwa maana hata mimi jina silijui, ila najuwa kuna linaloanza na O...
 
Eti nazila,, sasa unaachaje kuzila๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Ila huyu mzee sijui mzee nani maana kanyooka kama rula๐Ÿ˜
View attachment 2972944
ni utaratibu wa kawaida kabisa huo.
ni sawa na kupewa ruzuku mkonoini tu badala ya kwenye account ya chama au taasisi ilowakilishwa kwenye huo mkutano. na ndio maana hayupo alowahi kukataa huo mkwanja, sio cheyo, lipumba, mbowe au hata huyo mzee wa ubwabwa Hon. SPUNDA

ni utaratibu wa wazi sana na washiriki kutoka vyama na taasisi mbalilmbali wanajuaga kuna posho, na ndio maana huko kwenye taasisi zao, hupigana vikumbo sana juu ya nani aeende kuwawalilisha
 
Nimecheka mimi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Mtangazaji: Mnapewa pesa
Rungwe: Eeh! Tunapewa pesa.
Mtangazaji: Mnazila
Rungwe: Eeh tunazila
Mimi: ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ