Hii video ameipost msanii Roma. Je, una maoni gani kuihusu?

Hii video ameipost msanii Roma. Je, una maoni gani kuihusu?

Nimecheka mimi🀣🀣🀣

Mtangazaji: Mnapewa pesa
Rungwe: Eeh! Tunapewa pesa.
Mtangazaji: Mnazila
Rungwe: Eeh tunazila
Mimi: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyu mzee alikuwa tajiri sana. Ni mtu wa kwanza Tanzania kuwa na biashara ya, magari.Lakin alipoingia, BM alikutwa ana daiwa, kodi zaidi ya 400m.Alifirisiwa kabisa.Ikabidi akimbilie Open university kusoma LLB. Kwa sasa, anaishi mikocheni B.
 
Jamani kwenye mambo ya kiserikali hiyo inaitwa sitting allowance na hivyo haiwezi kuwa rushwa, huyo mzee ameshindwa kujieleza.

Umeandika kama ni jambo zuri kwa nchi inayojiita maskini...
 
Nimeipost mwenyewe ila kila nikirudi kuitazama hii clip nacheka kama faller 🀣🀣🀣🀣
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Nime_dowload hii video Yan ninaangalia siachi kucheka jinsi mzee anavyotoa majibu, ngoja nicheki video yote you tube kama ipo
 
Ccm ina mbinu nyingi,,,hapo pia wamemlipa ili aongee hivyo kuwahadaa Wanyonge!!
 
Aisee huyu mzee kama mwehu kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Nime_dowload hii video Yan ninaangalia siachi kucheka jinsi mzee anavyotoa majibu, ngoja nicheki video yote you tube kama ipo
inachekesha na kutia hasira kwa pamoja
 
Back
Top Bottom