Huyu mzee alikuwa tajiri sana. Ni mtu wa kwanza Tanzania kuwa na biashara ya, magari.Lakin alipoingia, BM alikutwa ana daiwa, kodi zaidi ya 400m.Alifirisiwa kabisa.Ikabidi akimbilie Open university kusoma LLB. Kwa sasa, anaishi mikocheni B.Nimecheka mimiπ€£π€£π€£
Mtangazaji: Mnapewa pesa
Rungwe: Eeh! Tunapewa pesa.
Mtangazaji: Mnazila
Rungwe: Eeh tunazila
Mimi: πππππππππππππ
Jamani kwenye mambo ya kiserikali hiyo inaitwa sitting allowance na hivyo haiwezi kuwa rushwa, huyo mzee ameshindwa kujieleza.
We mjinga Upinzani ni Ideology sio mtu,Na ndiyo maana tunaupinzani laaini kama mlenda!
ujinga mtumpu
Chief odembaHuyu mtangazaji anatumia jina gan IG huwa napenda kipindi chake
πππNime_dowload hii video Yan ninaangalia siachi kucheka jinsi mzee anavyotoa majibu, ngoja nicheki video yote you tube kama ipoNimeipost mwenyewe ila kila nikirudi kuitazama hii clip nacheka kama faller π€£π€£π€£π€£
Dah Hashim bana. π€£π€£Ila huyu mzee sijui mzee nani maana kanyooka kama rulaπ
View attachment 2972944
Chadema wanafurahi hadi wanajisahauIla huyu mzee sijui mzee nani maana kanyooka kama rulaπ
View attachment 2972944