Hii video huwa inanifikirisha sana

The Lisova

Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
47
Reaction score
49
Hiyo video ilisambaa sana mwaka jana wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Ukikutana na wahitaji halisi usisite kuwasaidia, hasa watoto. Maisha ni magumu sana kwa walio wengi. Mshukuru MUNGU kama una uhakika wa kupata mlo kamili wa siku.

Your browser is not able to display this video.
 
Kaka inaonesha unasapoti Israel, wewe wema wako ni kwa watoto wa ki kenya tu au kwa watoto duniani kote?
 
Daaah hii clip imenitoa machozi, mtoto alivyolia baada ya kupewa pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…