chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
Nimeikata mwanzo kwasababu ina baadhi ya maneno ambayo hayapendezi kusikika kwa umma
All in all inanikumbusha kijana wangu moja alikua na uwezo wa kipekee, yeye alikua anauwezo wa kuelewa lugha za wanyama mbalimbali wa kufugwa na wa porini mfano ndege, ngombe n.k
Alikuwa anaweza kupiga nao story hata kwa saa nzima kutokana na kuelewa kugha zao kwa kina na alikua mtafsiri kusema mfano ng'ombe anasema kamba imembana mguuni au ukakutana na ndege wakakisalimia au kukujulia hali kwa namna yeyote
Kiukweli hawa wanyama wana lugha yao japo sisi tunaona wanalia tu na wao pia wanaona sisi tunalia tu kutoa sauti zisizoeleweka, ila ukiweza kuwasikiliza utashangazwa na story zao mbalimbali