Hii video imeniumiza sana. Tuilinde amani yetu kwa gharama yoyote ile, Mungu tusaidie

Hii video imeniumiza sana. Tuilinde amani yetu kwa gharama yoyote ile, Mungu tusaidie

Ungeturahisishia utuambie tumlinde Saa100,Abdul,Wanu,Riziwani,Makama Jr,ZNape,Vita, Mhagama,Mwinyi, Sumaye, Lowassa family, Rostam, JK, salma, tungekuelewa mapema sana .
Kwani ninakuona umezungukia mbali mno!
 
Achana na hii kuna moja niliona zamani sana kipindi hicho hata tiktok haijaanza

jamaa kambeba mdogo wake wa kike amekatika miguu yote miwili wapo kundi kam hvyo tena mjini tu sio msituni kama hvyo
kinachosikitisha mbele mabomu nyuma mabomu
jamaa analia na mdogo wake analia hajui afanyje mara amuweke chini chugu zikianza kusikika anataka kukimbia lkn anamkumbuka mdogo wake anambeba ila hawezi kukimbia nae kwakweli ile Video ilikuwa inasikitisha sna
ilikuwa GOMA huko huko CONGO nadhani ilikiwa kati ya 2009 2010 hivi

nb:- hiyo video uliopost sio ya mapigano ya juzi GOMA ni ya muda tu ipo mtandaoni

VITA ni mbaya ambavyo siku zote sijawahi kuona FAIDA za VITA

mfn HAMASI na ISRAEL nini kimepatikana zaidi ya watu kufa
URUSI na UKRAINE nini kimepatikana zaidi ya watu kufa na kuanguka kiuchumi kwa hayo mataifa na wananchi kwa ujumla

haya huko GOMA punde tu hao waasi wa m23 watafurushwa
nini watakuwa wamepata zaidi ya kuua watu


nyinyi mnapigana ila wanaofaidika ni watu wa NJE kabisa kutoka katika nchi zenu
na nyinyi mnaopigana mnabaki hoi kimajeraha ya kiuchumi na kimwili na kupoteza ndugu jamaa marafiki na makazi
 
Waambie ving'ang'anizi wa madaraka.
Haya hutokea pale ambapo watu wamechoshwa na dhuluma inayofanywa na watawala wanaodhani ni wao tu ndiyo wenye haki ya kuwatawala wengine kwa kisingizio kwamba eti wao ndiyo walioleta uhuru.
Na pale wanapokataliwa kwa njia ya kidemokrasia wao uwa hawakubali kuachia madaraka badala yake wao wanaendeleza dhuluma tu tena bila hofu na mbaya zaidi wale wote wanaolalamika wanashughulikiwa kikatili kabisa.
 
Makundi kama M23 yalitaka kuchipuka Tz. Kuna watu walikuwa wanajiita Sukuma Gang, walikuwa na tofauti gani na kundi la kihutu la Akazu
 
1.Hamna Amani bila haki:-
Hata Iraq ilikua zaidi ya hivo,baada ya kupata haki yao,uchumi umekua mara 5,na hayo mambo hayapo.
2.Hata Afghanistan ilikua zaidi ya hivo,sababu wamepata haki yao,hayo mambo yameisha
3.Tanzania inaweza kua zaidi ya hivyo,sababu raia wana maisha magumu,huku wazungu wakila 84% ya mapato yetu yote ya madini yetu.
Hamna AMANI bila haki
 
Back
Top Bottom