Hii video imeniumiza sana. Tuilinde amani yetu kwa gharama yoyote ile, Mungu tusaidie

Hii video imeniumiza sana. Tuilinde amani yetu kwa gharama yoyote ile, Mungu tusaidie

Wewe kuweza kushika simu yako kwa utulivu kabisa na kuingia jf na kuuliza maana ya amani na kutulia ukisubiri majibu ni matokeo ya amani inayokuzunguka
Achana naye, utoto unawasumbua as he doesn't have anything to loose only his hands, kama vita itakuja.
 
Hatari sana, ukabila na ubaguzi ni kitu cha kukikataa
Ni kweli lakini yawezekana pia matokeo ya vita yasiwe hivyo pekee... kuna udini pia lakini pia kuna kukosa mgawanyo sawa wa rasilimali za nchi. Yote haya yanahitaji viongozi wenye busara sana na hekima ya hali ya juu na wenye hofu ya Mungu.
 
Tunatakiwa na sisi tufikie huko angalau hata maramoja ili ccm waanze kutenda haki.Bila kuchapana tusahau utawala wa Sheria
Kaka/Dada wakati unaandika hivi umetafakari madhara yake kwa watoto wako au wa ndugu zako mkuu??
 
Acha upunguani, huwezi kulinda amani kwa kuvunja katiba ya nchi, ni suala la muda tu
Sijakuelewa... Nadhani hapo hakuna upunguani. Na sijahalqlisha uvunjifu wa amani. Nimesema tuombe Mungu tusifikie level hii... Viongozi wetu wawe sikivu..
 
Aljazeera wanarekodi vichinda wa mbuzi??? Aisee ndio maana watu mnatapeliwa......
Kuwa serious kwenye mambo ya msingi huoni hiyo logo au? watu wanateseka wew upo zako Buza unakula miguu ya kuku unaandika Ujinga. Tuombe Mungu vita isifike kwetu nyie ndo wanaume mtavaa baibui badala ya tutoke tukapambanie nchi
 
Back
Top Bottom