othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Chuma inakohoa ile mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuma inakohoa ile mbaya
Haki na usawa kivipi hapa?...Ni kweli kabisa. Ila tunapaswa kulinda zaidi haki na usawa kwa wote kwa maana ndio vinaizalisha hiyo amani.
Inaskitisha sana,watoto wanavyoteseka,kama wanavyoteseka watoto wa Palestina.
Achana naye, utoto unawasumbua as he doesn't have anything to loose only his hands, kama vita itakuja.Wewe kuweza kushika simu yako kwa utulivu kabisa na kuingia jf na kuuliza maana ya amani na kutulia ukisubiri majibu ni matokeo ya amani inayokuzunguka
Ni kweli lakini yawezekana pia matokeo ya vita yasiwe hivyo pekee... kuna udini pia lakini pia kuna kukosa mgawanyo sawa wa rasilimali za nchi. Yote haya yanahitaji viongozi wenye busara sana na hekima ya hali ya juu na wenye hofu ya Mungu.Hatari sana, ukabila na ubaguzi ni kitu cha kukikataa
Sijakuelewa... Nadhani hapo hakuna upunguani. Na sijahalqlisha uvunjifu wa amani. Nimesema tuombe Mungu tusifikie level hii... Viongozi wetu wawe sikivu..Acha upunguani, huwezi kulinda amani kwa kuvunja katiba ya nchi, ni suala la muda tu
Madhara Kwa watoto na ndugu kufa kawaida hakuna ataeishi mileleKaka/Dada wakati unaandika hivi umetafakari madhara yake kwa watoto wako au wa ndugu zako mkuu??
Hii hata mi inaniumaga sana. Nawaza tutakavyokimbia nchi yetu na kuacha wake na watoto wetu wakiteseka na kupoteana kisa ujinga wa maccm kutakapopelekea na jeshi kuasi hivyo nasi kuwa Wakimbizi Burundi.
Kuwa serious kwenye mambo ya msingi huoni hiyo logo au? watu wanateseka wew upo zako Buza unakula miguu ya kuku unaandika Ujinga. Tuombe Mungu vita isifike kwetu nyie ndo wanaume mtavaa baibui badala ya tutoke tukapambanie nchiAljazeera wanarekodi vichinda wa mbuzi??? Aisee ndio maana watu mnatapeliwa......
Daah imeniuma hao watoto na kinamama😢
Nenda ukraine kama una hamu😂Hii dunia lingepigwa nuclear moja tu matata kipotezwe Kila kitu.....maana tumekuwa wa ajabu sana
UkabilaHatari sana, ukabila na ubaguzi ni kitu cha kukikataa
Humuhumu na siasa uchwara hiziNenda ukraine kama una hamu😂