Hii video inasikitisha na kutia kiwewe, hivi mbona SADC kimyaaa, hamna anayesema

Hii video inasikitisha na kutia kiwewe, hivi mbona SADC kimyaaa, hamna anayesema

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Yaani jamaa anatiwa kiberiti wakati watu wanachekelea pembeni, kosa lake ni ile tu kwamba yeye ni mgeni mweusi, anauawa na Waafrika wenzake, angekua Mwafrika mwenye asili ya kizungu hata wa kutokea nchi nyingine angepita bila kuguswa.

Kwa yanayotendeka Afrika Kusini naona hata mataifa kama Marekani yamepiga kimya na kuchekelea kwa mbali, ila nashangaa sana hapa Afrika viongozi hawalaani vya kutosha, hata marais wa EAC hawasemi kitu, cha kushangaza SADC ambako yanatendeka ndio kimyaaa!!

Wageni wote weusi waondoke huko SA, yaani ni kwa mazombi shithole kabisa, imeniuma sana hii video.

 
Warudi,hawa jamaa ni makatili sana aisee..

Inauma mno.
 
Wa Jews waliuliwa sana na Hitler sasa wao Jews wanawauwa sana wa Palestine, Makaburu waliwauwa sana wa south Africa lakini sasa wa south Africa wanawauwa waafrika wenzao. Hizi akili za watu weusi hata kule USA wazungu waliwauwa sana weusi lakini sasa weusi wanauwana wenyewe kwa wenyewe.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Nilitegemea SADC Chairperson John Magufuli kusema jambo kuhusu hili la Xenophobia.
 
Back
Top Bottom