MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Yaani jamaa anatiwa kiberiti wakati watu wanachekelea pembeni, kosa lake ni ile tu kwamba yeye ni mgeni mweusi, anauawa na Waafrika wenzake, angekua Mwafrika mwenye asili ya kizungu hata wa kutokea nchi nyingine angepita bila kuguswa.
Kwa yanayotendeka Afrika Kusini naona hata mataifa kama Marekani yamepiga kimya na kuchekelea kwa mbali, ila nashangaa sana hapa Afrika viongozi hawalaani vya kutosha, hata marais wa EAC hawasemi kitu, cha kushangaza SADC ambako yanatendeka ndio kimyaaa!!
Wageni wote weusi waondoke huko SA, yaani ni kwa mazombi shithole kabisa, imeniuma sana hii video.