Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Waliorekodi hii video walikusudia nini hasa kwamba Yesu kristo alipiga watu mateke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwaga nani?Hao ni waigizaji kama waigizaji wengine nashangaa Sana watu wanavokuwa na hisia Kali kwa kuaangalia video ya yesu wakati yule jamaa aliyeigiza amepiga mkwanja mrefu Sana na pesa anaitumia kula mademu .....mbaya zaidi Brian deacon Hana Iman na uwepo wa Mungu ,ila aliweza kuigiza vile ....
Inawezekana maana hatukuwepo zaidi ya kuonyeshwa na movie za wazunguWaliorekodi hii video walikusudia nini hasa kwamba Yesu kristo alipiga watu mateke.
View attachment 2195341
Hao ni waigizaji kama waigizaji wengine nashangaa Sana watu wanavokuwa na hisia Kali kwa kuaangalia video ya yesu wakati yule jamaa aliyeigiza amepiga mkwanja mrefu Sana na pesa anaitumia kula mademu .....mbaya zaidi Brian deacon Hana Iman na uwepo wa Mungu ,ila aliweza kuigiza vile ....