Kwanza unapaswa kufahamu muziki wa #Amapiano ni mziki wa aina gani ukisha tambua basi unaweza rudi kucomment tenaNasikia makelele ya pumba za kizulu na kiswahili kisichoelewaka tu.
Kwani ni lazima niupende?kwanza unapaswa kufahamu muziki wa #Amapiano ni mziki wa aina gani ukisha tambua basi unaweza rudi kucomment tena
Hekima zako humu jukwaani zimekosekana mda sasaKijana wa Wasafi, umenimiss kwenye hili jukwaa siyo ?
Usijali. Nitarudi rasmi kuanzia wiki ijayo.Hekima zako humu jukwaani zimekosekana mda sasa