Hii video ya IYO, inadhihirisha kiasi gani Diamond Platnumz yupo serious kwenye investment ya music videos!

Hii video ya IYO, inadhihirisha kiasi gani Diamond Platnumz yupo serious kwenye investment ya music videos!

Mlolongo

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
3,483
Reaction score
6,257
Hivi mshikaji hela anazo invest kwenye videos zake zinarudigi kweli?

Mfano kwenye inama, Waah!! Unaona kabisa hapa hela ilotumika si ya kitoto...

Video ya IYO ndio balaa, kwanza kuna scenes karibu 30 mule, kuanzia wanafunzi darasani, magodoro, club, wadada wawili, masela wawili, mavazi, dancers, location, logistics zote.

Halafu sikutegemea director akawa Hanscana!

Wasanii wengine wanafeli wapi..

 
Nikadhani kuwa kuna ferrari imechomwa moto kwenye hiyo video ndo tuseme kuna investment kubwa ya pesa kwenye video..kumbe ni gharama za kuwachezesha watoto wa darasa la nne.

Video inaonekana haina gharama kubwa..gharama ni kuwakusanya hao watu na kuwavisha tu.
 
Back
Top Bottom