Hii video ya wasira inaonyesha taswira halisi ya ngozi nyeusi

Hii video ya wasira inaonyesha taswira halisi ya ngozi nyeusi

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,528
Reaction score
6,856
Msikilizeni huyu mzee akipigania ubunge dhidi ya Ester
 

Attachments

  • 6017471-46d1e509592bd73d8313972ca4ec2707.mp4
    805.6 KB
Ester huyu huyu mwenye ma sheri kiabao au kuna mwingine
 
Huyo alikuwa amepewa assignment
Baada ya assignment yake kuisha akarudi nyumbani

Kama kina Mrema, Mabere Marando, Mtikila, Lowassa, Sumaye

Na sasa ametumwa Msigwa na Selasini

Polepole alipewa assignment ya kuwaibua wale wako ndani ya CCM lakini wanasapoti wapinzani ambao walikuwa wanawaita Sukuma gang, ila hawakupatikana, ikabidi wacheze picha kama ametekwa na wasiojulikana, ila kwa sasa yuko nje ya nchi na utambulisho mpya anafyonza asali tu.
 

Attachments

  • 1000020485.jpg
    1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 8
Back
Top Bottom