Yaani ukiachana na ishu ya vita,sasa hv karibia kila video 10,sita ni IA.. kuanzia habari,mpira,movies,documentaries yan ni AI kila nyanja.
Watu kupenda mitelezo akina youyuber nao wote wamehamia kwenye AI.
Muda si mrefu tutaanza kuichukia AI kwa upande wa video na picha.
Kwahiyo mkuu hata Ayatollah huenda yupo hai?Nafuatilia kwa karibu sana mitandaoni hii vita vya Iran marekanani na Israel.. Ni wazi sasa propaganda imehamia kwenye AI kwa asilimia 100
Video zinazorushwa kina AI nyingi sana mpaka kuna baadhi unashindwa kutofautisha halisi na feki
Lakini pia ni mwanzo wa vita ijayo itakuwa ni laser war tupu
AI za Kinigeria na kihindi ndio za kijinga kabisa.. Zinajidhirisha waziSiku hizi katika vitu siamini kabisa ni video,heri ya picha picha ya AI naweza kuitambua lakini imekuwa ngumu sana kutambua baadhi ya video za AI na AI generated songs.
Wiki iliyopita nimekaa ndan nkadownload suno nkaandika lyrics nikaweka prompt yamelody ndani ya dakika moja nikatengeneza wimbo ambao ukiusikia huwezi kujua kama ni AI mpk uambiwe
Hii ni AIHii siyo Al
View attachment 3550717
Lolote linawezekana,Hahahaha kwamba hata Ayatollah hajafa?
Lolote linawezekana,
Sipati picha kama ingekuwa ni nchini malawi ,
Dhambi zote angepewa AI ππ
Kumbe inawezekana kuna mtu alipost nasikiliza wimbo kuhuus mizimu ya ukoonwake akasema Al nikabishaSiku hizi katika vitu siamini kabisa ni video,heri ya picha picha ya AI naweza kuitambua lakini imekuwa ngumu sana kutambua baadhi ya video za AI na AI generated songs.
Wiki iliyopita nimekaa ndan nkadownload suno nkaandika lyrics nikaweka prompt yamelody ndani ya dakika moja nikatengeneza wimbo ambao ukiusikia huwezi kujua kama ni AI mpk uambiwe
Teknolojia inataka watu wakalime sasa,hii inawezekanaKumbe inawezekana kuna mtu alipost nasikiliza wimbo kuhuus mizimu ya ukoonwake akasema Al nikabisha