Seriously usingesema nisingejua kama ni AI generatedTeknolojia inataka watu wakalime sasa,hii inawezekana
Mimi napenda sana music wa Elwctronic (EDM) Na mwanamuziki anayenivutia sana kwenye EDM ni Alan walker,na pia licha ya kupenda nauelewa pia njia zake na rythm zake..Huu wimbo nimeutengeneza kwa AI niliandika lyrics mwenyewe nikaicommand AI Kutaka wimbo uwe Alan walker style na prompt nyingine pale ndani ya dk moja nkapata wimbo perfect,nikachukua hatimiliki huu wimbo naweza kuusambaza Spotify,youtube nk.
Nafuatilia kwa karibu sana mitandaoni hii vita vya Iran marekanani na Israel.. Ni wazi sasa propaganda imehamia kwenye AI kwa asilimia 100
Video zinazorushwa kina AI nyingi sana mpaka kuna baadhi unashindwa kutofautisha halisi na feki
Lakini pia ni mwanzo wa vita ijayo itakuwa ni laser war tupu
O
Hiyo ni AI na nina bunch la nyimbo za kiswahili ambazo tukizicompete na hawa kina Diamond na Marioo unaweza kuwashauri waache kuimba wakalimeSeriously usingesema nisingejua kama ni AI generated
Lolote linawezekana,
Sipati picha kama ingekuwa ni nchini malawi ,
Dhambi zote angepewa AI ππ
Tena kwenye nyimbo ndo balaa kabisavideo za AI na AI generated songs.
Niliwahi kuandika hii mada hapa chini.. Miaka 50 mingi sana , kumi ijayo kila kitu kitategemea AIHiyo ni AI na nina bunch la nyimbo za kiswahili ambazo tukizicompete na hawa kina Diamond na Marioo unaweza kuwashauri waache kuimba wakalime
Kaka Mshana mimi huwa najiuliza sijui miaka 50 huko mbele hii dunia itakuwaje nina wasiwasi watu hawatakufa huko mbeleni
Sasa unafatilia hii vita kupitia Facebook unategemea nini, taarifa za uhakika zinapatikana xNafuatilia kwa karibu sana mitandaoni hii vita vya Iran marekanani na Israel.. Ni wazi sasa propaganda imehamia kwenye AI kwa asilimia 100
Video zinazorushwa kina AI nyingi sana mpaka kuna baadhi unashindwa kutofautisha halisi na feki
Lakini pia ni mwanzo wa vita ijayo itakuwa ni laser war tupu
Inakera sanaNafuatilia kwa karibu sana mitandaoni hii vita vya Iran marekanani na Israel.. Ni wazi sasa propaganda imehamia kwenye AI kwa asilimia 100
Video zinazorushwa kina AI nyingi sana mpaka kuna baadhi unashindwa kutofautisha halisi na feki
Lakini pia ni mwanzo wa vita ijayo itakuwa ni laser war tupu
Picha nyingi ni AI zikiambatana na PROPAGANDA za kivita
Nakumbuka mwaka jana, Israel Ilivyo ibeep Irani iliambulia kipigo cha mbwa koko; ndio Marekani akaja mbio kuokoa jahazi (Kumbuka ile Ardhi wanayokaa ni ya Wapelestina, walimegewa na marekani mwaka 1945).
Huku nyumbani mashabiki MBUMBU wa Israel walikuwa wanashinda mitandaoni wakitangaza kuwa Israel imesambaratisha irani...