TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Kwa wafuatiliaji wa mitandao hasa kule X na habari za Palestine na Israel, binafsi nasoma kidogo kwa wabongo alafu naenda kwa walio karibu na eneo husika.
Ni hivi; kuna jamaa naona ni Mmarekani anaitwa Jackson Hinkle huyu jamaa anashabikia sana habari za mauaji yanayofanywa na IDF na kuna mahali anawakanda sana Amerika na wale wengine kwa kuisapoti Israel.
Upande wa pili kuna huyu jamaa anaitwa Piers Morgan huyu atakuwa Muingereza, kutokana na story zake nyingi, huyu jamaa kamblock Jackson kisa na mkasa Jackson anatoa habari za kuchefua baadhi zikiwa za kubumba.
So Piers kamwambia Jackson "Nina wafuasi milioni 8.5 kwa hivyo nikishirikiana na watu kama yeye, ambao hudanganya kwa makusudi, itaeneza uwongo wake kwa hadhira pana zaidi. Afadhali kumzuia na kumwacha aulie uongo wake kwenye upepo"
Upande wa pili ukarevange kwa kumpa tukio, "Je, una maoni yoyote kuhusu ukatili huu au mnaripoti habari za uwongo tu kuhusu Hamas kuwakata watoto👇🏾 vichwa?"
Kitu cha kuhuzunisha nikwamba kuna watu wananufaika na hii vita kupitia hii mitandao so mmoja afe mwingine aishi ndicho nakiona.
Ni toka lini mzungu akawa upande wa mtu asiyempenda?.