johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama una kijana wako anasoma Russia basi ujue hali ya utumaji fedha nchini humo imeanza kutatizika mifumo ya benki kuu yake imeelemewa na mingine haina access na International systems.
Wewe unapiga kwa makombora mwenzako anautandika uchumi wako ni lazima ama uombe poo au ukimbilie nyuklia kwa kuchanganyikiwa.
Vita ya uchumi ni mbaya sana, huu ulikuwa ni wosia wa mwisho wa Rais Magufuli pale St Peters Oysterbay.
Mungu wa mbinguni mpumzishe kwa amani Joseph Magufuli!