johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Ndani ya Russia mambo yanabadilika kwa kasi.sio rahisi kiivyo bwasheeee.. wale sio kama ccm na chadema
Magereza hayatoshi askari wameanza kulegea!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndani ya Russia mambo yanabadilika kwa kasi.sio rahisi kiivyo bwasheeee.. wale sio kama ccm na chadema
Muwe mnasoma na kuelewa vikwazo alivyowekewa Urusi ni vibaya maana hadi Swift imefungwa anga lote la Ulaya limefungwa kwa ndege zote zilizosajiliwa Urusikwani hizo sanctions zimeanza leo 2014 obama alimwekea,kikubwa hata ni puzzle game,U.S.A anategemea OUTPUT fulani ila kakutana na kichwa time will tell...
Ni vya kihistoria.Vikwazo alivyowekewa Urusi hakuna nchi imewahi wekewa
Tusubiri mazungumzo ya hao mabeberu walioshiba nyasi...Endelea kukariri bwashee!
Mchina aiangalie tuNdio aitumie mwenyewe sasa!
Acha ushabiki wewe. Puttin katengenezewa tatizo kubwa sana kiuchumi..subiri muda utaona. Ndege zake zote zimepigwa ban kifupi katengwa.Syria na vikwazo vyote aluvyowekewa vipi umeona wameyumba? Korea kaskazin Cuba vipi
Ukipigwa hivyo vikwazo lazima uwe kichaaNi vya kihistoria.
Hadi mchina ameshangaa, hakutegemea!
Bwasheee usibishane na mie, nipo Russia mkuuNdani ya Russia mambo yanabadilika kwa kasi.
Magereza hayatoshi askari wameanza kulegea!
Unaijua Digital currency??kitu wanasahau ni kwamba sasa nchi nyingi zinakimbilia kwenye digital currency
Utafia huko huko bwashee!Bwasheee usibishane na mie, nipo Russia mkuu
Acha ushabiki wewe. Puttin katengenezewa tatizo kubwa sana kiuchumi..subiri muda utaona. Ndege zake zote zimepigwa ban kifupi katengwa.
Bado mapema Sana kuona madhara yake....upe muda nafasi.
German ameshaachana na gesi ya Russia amepata kwingine kuanzia jana.
Hata sisi Tanzania tuna gesi ya kumwaga hatuna wa kumuuzia waje tu!
Mlipolalia ndo wao walipoamkia.......Putin anacheka tu iiiiiiiiiUnaijua Digital currency??
Hao wote ni mahututi kiuchumiSyria na vikwazo vyote aluvyowekewa vipi umeona wameyumba? Korea kaskazin Cuba vipi
Endelea kukariri na vimatusi vyako vya migombani!Una kichaa wewe si bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo gesi Germany kaitolea wp kwa Nani? Wakati Russia Ndio msambazaji mkubwa huko EU
Hadi dakika hii fedha ya Russia imeanguka kwa 40% against dollar.Mlipolalia ndo wao walipoamkia.......Putin anacheka tu iiiiiiiiiView attachment 2133829View attachment 2133830View attachment 2133831
Raia wa Ufaransa ndio wanahamishwa muda huu.Nimeona marekan wanataka raia waliopo Russia warudi marekan
Endelea kukariri bwashee!Miaka 11 sasa