Hii vita ni Makombora vs Vikwazo vya kiuchumi, mmoja anakaribia kuomba poo!

Uandishi wa kishabiki huu, kwan ile vita ya magufuli aliekuwa anaizungumzia ndio kama hii au hukumuelewa??? Hizi hotuba za marais ziwe zinafanyiwa tafsiri nashauri maana wananchi huku hawaelewi kitu.

Kile cha russia sasa sio vita ya uchumi vile ni vikwazo vya uchumi.

Vita ya kiuchumi ni kama ile ya china na marekan juu ya 5g tec au i phone na huwawei nk.

Lakin kwa kukuondolea hofu vikwazo vya kiuchumi nchi kibao zimewekewa na bado watu wanaishi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Vikwazo visikie, Iran mpaka ameshindwa kulipa mchango wake UN kwasababu ya ukata, kazidiwa na Tanzania nchi ndogo kwenye world statge.
 
Uandishi wa kishabiki huu, kwan ile vita ya magufuli aliekuwa anaizungumzia ndio kama hii au hukumuelewa??? Hizi hotuba za marais ziwe zinafanyiwa tafsiri nashauri maana wananchi huku hawaelewi kitu.

Kile cha russia sasa sio vita ya uchumi vile ni vikwazo vya uchumi.

Vita ya kiuchumi ni kama ile ya china na marekan juu ya 5g tec au i phone na huwawei nk.

Lakin kwa kukuondolea hofu vikwazo vya kiuchumi nchi kibao zimewekewa na bado watu wanaishi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umejibu vzr Mkuu!
Kuna tofauti ya vita vya uchumi na vikwazo vya uchumi !

Halafu ile ya Magufuli , ulikua ni usemi wenye ushabiki wa kisiasa!
Sanasana alimlenga Lisu zaidi.

Na alipambania vp na wakati mwisho wake aliishia na 1.5 t, na Air port

Tunapoongea vitu tuangalie na matendo
 
Wewe marafiki zako akina Kim Jong , sjui India , mara Iran , wote maskini tu hela hawana ...!!! China hela anayo Ila huo ujinga wa vita hawez fanya 😀😀😀
Nadhani hujui hata historia ya dunia. Unapiga kelele tu. Hujui issue ya China na Taiwan!? Hujui china ailiichukua kibabe sehemu ya bahari ya Philippines!? Mzee nenda shule kwanza kajifunze kuhusu Geopolitics
 
EU anaumiaje wakati ni nchi wanachama Ni one economic block.

EU wanafanya biashara na Urusi kwa kiasi kikubwa mfano Finland inaitegemea soko la Urusi kwa asilimia zaidi ya 60. Hapo hujazugumzia Ujerumani na wengine.

Bidhaa muhimu kama gesi asilia na mafuta kwa 60% wananunua toka Urusi. Nani anafaidi hapo? Nani anaumia?
 
German ameshaachana na gesi ya Russia amepata kwingine kuanzia jana.

Hata sisi Tanzania tuna gesi ya kumwaga hatuna wa kumuuzia waje tu!
 
tokea mwanzo alternatives zilikuwepo ishu gesi ya mrusi ndo ilikua ya gharama nafuu kuliko kwingine
 
German ameshaachana na gesi ya Russia amepata kwingine kuanzia jana.

Hata sisi Tanzania tuna gesi ya kumwaga hatuna wa kumuuzia waje tu!
Mkuu, unataka Putin atushughulikie na sisi ? 😆

IMG_20220228_101318.jpg
 
Back
Top Bottom