Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iran kawekewa sanctions kwa miaka mingapi, Syria Je ?Kama una kijana wako anasoma Russia basi ujue hali ya utumaji fedha nchini humo imeanza kutatizika mifumo ya benki kuu yake imeelemewa na mingine haina access na International systems.
Wewe unapiga kwa makombora mwenzako anautandika uchumi wako ni lazima ama uombe poo au ukimbilie nyuklia kwa kuchanganyikiwa.
Vita ya uchumi ni mbaya sana, huu ulikuwa ni wosia wa mwisho wa Rais Magufuli pale St Peters Oysterbay.
Mungu wa mbinguni mpumzishe kwa amani Joseph Magufuli!
Kapata wap?German ameshaachana na gesi ya Russia amepata kwingine kuanzia jana.
Hata sisi Tanzania tuna gesi ya kumwaga hatuna wa kumuuzia waje tu!
Wanamaanisha ninRaia wa Ufaransa ndio wanahamishwa muda huu.
Watu humu wamekaa ki shabiki tu!Wewe unasema hivyo upo Tanzania, nenda ukaishi kule ndio utajua ukubwa wa vikwazo. Mfano mzuri ni Zimbabwe kamuulize aliyopitia mpaka wakaamua kumpindua Mugabe. Vikwazo visikie kwa wengine sio kwako. Wewe fikiria Rais anategemea mikopo ya nje, siku tukiwekewewa vikwazo ndio mwisho wetu.
German ameshaachana na gesi ya Russia amepata kwingine kuanzia jana.
Hata sisi Tanzania tuna gesi ya kumwaga hatuna wa kumuuzia waje tu!
Mlipolalia ndo wao walipoamkia.......Putin anacheka tu iiiiiiiiiView attachment 2133829View attachment 2133830View attachment 2133831
sasa umeona aliefanya hivyo ni Samia<<< we toa povu wao wanaendelea na kazi hio swift mkapigie deki.........................naona hujaelewa unatoa povu tu ......soma ueleweUsiwe na akili kama za Samia kuiambia Benki kuu ianze Kufanya legal transaction za Cryptocurrency.
Sifa ya kwanza ya Crypto currency ni decentralized (All Blockchain technology should be this way), nje ya hapo hiyo siyo cryptocurrency.
Duniani kote ni nchi moja tu ndio Cyrptos ni legal tender (El Salvador) Uchina, USA, Hata Iran walijaribu ila Hadi kesho hawajaanza kuzitumia sababu ya hiyo Sifa ya kwanza (maana yake Serikali haitaweza kujua source Wala destination ya miamala).
Wewe hata ukiwa na Bitcoin 10 now utakachoweza kuinunulia now ni Child Porns, vitu vya magendo na baadhi ya vitu mitandaoni, but kwenye uchumi halisia Cryptocurrency Bado sana sana.
Cryptocurrency zinazungukaje au zinatengenezwaje.
1. Mining(kupata zawadi ya cryptocurrency) baada ya kuthibitisha muamala kwenye network ya hizi cryptocurrency (Blockchain)
Hii process in expensive sana, unahitaji uwe na computer nzuri, umeme, na cooling centers running 24/7 hii investment inahitaji fiat currency.
Gharama ya chini kwa mtu wa Kawaida kupata at least some profit kwa njia hii ni kuwa na computer ambayo utaipata kwa angalau Million 5 ya Tanzania.
2. Malipo Halali (Haya ni machache sana, hata hao Russia asilimia ya hawajawahi kununulia mkate)
Watu wengi huuziwa Hizi Bitcoins mwisho wa siku wanakosa kwa kuzitumia.
Cryptocurrency haziwezi kureplace Fiat currency labda next 20 years tena kuwe na global crisis ya aina yake na Kila mtu azielewe
Benki 4 tayari zimeondolewa kwenye mfumo Leo asubuhi.Kama una kijana wako anasoma Russia basi ujue hali ya utumaji fedha nchini humo imeanza kutatizika mifumo ya benki kuu yake imeelemewa na mingine haina access na International systems.
Wewe unapiga kwa makombora mwenzako anautandika uchumi wako ni lazima ama uombe poo au ukimbilie nyuklia kwa kuchanganyikiwa.
Vita ya uchumi ni mbaya sana, huu ulikuwa ni wosia wa mwisho wa Rais Magufuli pale St Peters Oysterbay.
Mungu wa mbinguni mpumzishe kwa amani Joseph Magufuli!
jamaa hakwenda China bure aseeeWatu wana options unabana huku wanahamia huku wataoteseka wao kwenda kulipa hahahah mafuta,gesi mnamtegemea mrusi afu mnajidai kumuekea vikwazo, naona uchumi wa China unavyoenda kuwa juu hapa
Kwani umesikia kurusha makombora Nato ni kama ukreni. Nato ni mziki mwingine.Makombora na vita ya uchumi sasa si unawafumua tu wanaosumbua wote wafe tu
Syria saivi ni kama hamna nchi imebaki magofu tuu.Syria na vikwazo vyote aluvyowekewa vipi umeona wameyumba? Korea kaskazin Cuba vipi
Huyu jamaa by nature ni mkorofi ilifaa wananchi wamtoe mapema.
Madini mazuri sana Omari. Watu kama nyie taifa linawahitaji sana kwa maendeleo ya nchi.Usiwe na akili kama za Samia kuiambia Benki kuu ianze Kufanya legal transaction za Cryptocurrency.
Sifa ya kwanza ya Crypto currency ni decentralized (All Blockchain technology should be this way), nje ya hapo hiyo siyo cryptocurrency.
Duniani kote ni nchi moja tu ndio Cyrptos ni legal tender (El Salvador) Uchina, USA, Hata Iran walijaribu ila Hadi kesho hawajaanza kuzitumia sababu ya hiyo Sifa ya kwanza (maana yake Serikali haitaweza kujua source Wala destination ya miamala).
Wewe hata ukiwa na Bitcoin 10 now utakachoweza kuinunulia now ni Child Porns, vitu vya magendo na baadhi ya vitu mitandaoni, but kwenye uchumi halisia Cryptocurrency Bado sana sana.
Cryptocurrency zinazungukaje au zinatengenezwaje.
1. Mining(kupata zawadi ya cryptocurrency) baada ya kuthibitisha muamala kwenye network ya hizi cryptocurrency (Blockchain)
Hii process in expensive sana, unahitaji uwe na computer nzuri, umeme, na cooling centers running 24/7 hii investment inahitaji fiat currency.
Gharama ya chini kwa mtu wa Kawaida kupata at least some profit kwa njia hii ni kuwa na computer ambayo utaipata kwa angalau Million 5 ya Tanzania.
2. Malipo Halali (Haya ni machache sana, hata hao Russia asilimia ya hawajawahi kununulia mkate)
Watu wengi huuziwa Hizi Bitcoins mwisho wa siku wanakosa kwa kuzitumia.
Cryptocurrency haziwezi kureplace Fiat currency labda next 20 years tena kuwe na global crisis ya aina yake na Kila mtu azielewe
Umtoe shujaa uweke kibaraka muishe wote itakuwa akili ?Huyu jamaa by nature ni mkorofi ilifaa wananchi wamtoe mapema.
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Kinachoisaidia Syria ni kuwa ina wasomi wengi hasa madaktari na ma engineer ambao wanafanya kazi Ulaya na Marekani, hawa wanaitisha michango misikitini na mahitaji muhimu yanapelekwa nyumbani kila wiki.Umewahi kuishi Syria?😄
Kama una kijana wako anasoma Russia basi ujue hali ya utumaji fedha nchini humo imeanza kutatizika mifumo ya benki kuu yake imeelemewa na mingine haina access na International systems.
Wewe unapiga kwa makombora mwenzako anautandika uchumi wako ni lazima ama uombe poo au ukimbilie nyuklia kwa kuchanganyikiwa.
Vita ya uchumi ni mbaya sana, huu ulikuwa ni wosia wa mwisho wa Rais Magufuli pale St Peters Oysterbay.
Mungu wa mbinguni mpumzishe kwa amani Joseph Magufuli!
hiyo fedha hata ianguke kwa 100% haijalishi. Ikiwa Urusi anataka kununua nje ya nchi ndio issue lakini ndani ya nchi haijalishi kama matumizi ni ndani kwa bidhaa wanazozizalisha wao. Lakini pia wanaotaka kununua vitu Urusi watabidi walipe kiasi ambacho Mrusi anataka kwa mujibu wa makubaliano.Hadi dakika hii fedha ya Russia imeanguka kwa 40% against dollar.
Benki kuu ya Russia imeongeza riba kwa wateja wake.
Urusi anachezea kichapo cha mbwa koko, asubuhi tu ilikuwa 30% mambo yanaenda kasi sana!