Hii vita ni Makombora vs Vikwazo vya kiuchumi, mmoja anakaribia kuomba poo!

Hii vita ni Makombora vs Vikwazo vya kiuchumi, mmoja anakaribia kuomba poo!

mrusi anarasilimali za kutosha hakuna atakaemsusia.....jua hilo, gesi itachukuliwa, mafuta yatanunuliwa na ngano watabeba
Hehehehehhe.
Licha ya kuwa na rasilimali nyingi mbona ktk mataifa kumi Bora yenye uchumi mkubwa haipo!?
Au unadhani gesi,mafuta na ngano hakuna pengine pa kuvipata zaidi ya Russia!?
Kwa dunia ya sasa nchi pekee ambayo haiwezi kuumia na vikwazo vya kiuchumi kwasababu tayari ina global influence ni China.
Hiyo Russia ina kitu kipi hasa ina produce cha kuitisha dunia kiuchumi?Ina economic influence gani globally?
Bro tazama haya Mambo kwa kina usilete ushabiki.
Mimi wamagharibi na US siwakubali ila linapokuja suala la kiuchumi basi uchumi wa dunia wameshikilia wao ndugu haina budi kuwa mpole.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba mwamba ataomba poo
Putin ameingizwa mjini kizembe sanaaa.Wale jamaa wamemzidi akili pakubwa. Kule vitani amefanyiwa mchezo mchafu,maana hajafanikiwa kuuteka mji wala kumwondoa jamaa.Kakutana na upinzani wa hatariiii asioujia umetoka wapi.

Huku anatengwa na kila mtu mpaka kwenye michezo.Vikwazo vya kiuchumi ndo balaa.Ataomba poo
 
Pro Russia ukiwakumbushia kile kichapo walichokipata Georgia,wanabaki kutoa povu hatari,Dunia ya leo hii unaleta ubabe wa kizamani wa 80's huko.Mara anatishia kutumia Nukes,utadhani anazo peke yake,ajaribu sasa aone kama Dunia itamtizama tu,lile somo la Georgia naona hakulipata vizuri,kupitia Ukraine nadhani ataelewa zaidi,wenzie wanatumia akili zaidi wanamtandika kwa vikwazo huku wanapop Champagne wakati yeye huku anapigana vita na wakati huo huo anapambana na vikwazo.Unaweza kuwa na maguvu mengi lakini usiwe na akili ya kuyatumia yakakuletea manufaa kwako.
Unajua ktk ukweli na uhalisia unatakiwa uweke ushabiki pembeni,hiki ni kitu ambacho pro-Russia wanakisahau kaka.
Katika dunia ya sasa huna uzalishaji wa kutisha duniani,huna foreign reserve ya kushindana na wamagharibi na duniani una ushawishi haba kiuchumi ndugu usijaribu kushindana na America na washirika wake utaumia maana uchumi wameshikilia wao.
We unadhani EU na US watoe tamko mataifa yaliyo umoja wa mataifa UN wasishirikiane na Russia kiuchumi unadhani Russia inachomoka wapi!?
Huyu jamaa anataka kuleta reference za China ilhali China ni taifa ambalo tayari kiuchumi linashindana na hawa jamaa .
Dunia ya sasa nguvu ya uchumi ndio Kila kitu sio silaha km zamani.
 
Putin ameingizwa mjini kizembe sanaaa.Wale jamaa wamemzidi akili pakubwa. Kule vitani amefanyiwa mchezo mchafu,maana hajafanikiwa kuuteka mji wala kumwondoa jamaa.Kakutana na upinzani wa hatariiii asioujia umetoka wapi.

Huku anatengwa na kila mtu mpaka kwenye michezo.Vikwazo vya kiuchumi ndo balaa.Ataomba poo
yote hayo ndani ya muda mfupi tu, wakiweza kufikisha hata miaka mi 2 kwahivyo vikwazo walivyoweka basi watakua wamekua sasa
 
Syria na vikwazo vyote alivyowekewa vipi umeona wameyumba? Korea kaskazin Cuba vipi
Wewe unazungumza kutoka tandale wakati wenzako Urusi uchumi kwao ndo jambo muhimu sasa vikwazo vinawatatiza sana.

Korea kaskazini na Syria hawajawahi kuwekewa vikwazo vikali kama hivi vya kuzuia mfumo wa SWIFT kama ilivyo sasa kwa Urusi.

Ujasusi wa siku hizi umejikita kwenye uchumi sio mapigano ya moja kwa moja.
 
Putin ameingizwa mjini kizembe sanaaa.Wale jamaa wamemzidi akili pakubwa. Kule vitani amefanyiwa mchezo mchafu,maana hajafanikiwa kuuteka mji wala kumwondoa jamaa.Kakutana na upinzani wa hatariiii asioujia umetoka wapi.

Huku anatengwa na kila mtu mpaka kwenye michezo.Vikwazo vya kiuchumi ndo balaa.Ataomba poo

Nina wasiwasi sijui kama unafaham yanayoendelea huko au Ndio umekurupuka
IMG_4881.jpg
 
Back
Top Bottom