American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 673
- 974
Duh aisee umenisanua hapo. Inawezekana sana kwamba Uchumi unaenda kuzidi nguvu SilahaUnajua ktk ukweli na uhalisia unatakiwa uweke ushabiki pembeni,hiki ni kitu ambacho pro-Russia wanakisahau kaka.
Katika dunia ya sasa huna uzalishaji wa kutisha duniani,huna foreign reserve ya kushindana na wamagharibi na duniani una ushawishi haba kiuchumi ndugu usijaribu kushindana na America na washirika wake utaumia maana uchumi wameshikilia wao.
We unadhani EU na US watoe tamko mataifa yaliyo umoja wa mataifa UN wasishirikiane na Russia kiuchumi unadhani Russia inachomoka wapi!?
Huyu jamaa anataka kuleta reference za China ilhali China ni taifa ambalo tayari kiuchumi linashindana na hawa jamaa .
Dunia ya sasa nguvu ya uchumi ndio Kila kitu sio silaha km zamani.