Hii vita ni Makombora vs Vikwazo vya kiuchumi, mmoja anakaribia kuomba poo!

Hii vita ni Makombora vs Vikwazo vya kiuchumi, mmoja anakaribia kuomba poo!

Mwananchi wa Russia ni kama mkazi wa buza na yeye kilasiku anatafuta njia ya kuzamia ulaya kubwa
Na sasa ndio anabanwa asieende toilet atakavyo ndio Itakuwa hata mkazi wa buza atakuwa ana nafuu
Tatizo ubishi huu umejaa vitoto vya sulu hizi ambavyo havijui jinsi Soviet ilivyochakachuliwa na kusambaratika
 
Acha hizi porojo,kwamba wewe ndiyo unayajua mambo zaidi kuliko Financial experts wa Dunia waliopo NYS,LST na Pundits wengine wengi waliopo kwenye masoko makubwa ya kifedha Duniani.Nyie Pro Russia mnachekesha sana mnacomment na simu zenu za Iphone,Sumsung zilizotengenezwa na hao hao mnaotaka kutuaminisha hawajui kitu.
wamagharibi wataongea lipi jema...........chagua cha kuamini hio ndo democracy
 
Unaongea hivyo utadhani Dunia yote inamtegemea Russia kwa hizo bidhaa,mbona sasa kapigwa sanctions na amepanic,akae na hiyo gesi yake tuone kama atakula hiyo gesi
aliepanic ni alietandikwa
 
hahaa uko nyumq sana kijana, Wa Ruusia washaanza kumkaataa putin, soon haiishi this week utashuhudia kitu tunakwambia, maandamano yatakua makubwa sana huko Russia, wanachofanya EU na Nato ni kungombanisha Putin na wananchi wake ili aikose support abaki kusort out internal issues. Hivyo vikwazo alivowekewa ni vibaya sana na vinaumiza watu very immediately, sasa hivi watu wanapanga fileni Bank huko Russia na hakuna pesa, kuongezeka kwa riba up to 20% imeishusha pesa ya Russia in one day kwa 30%, after 1 or 2 weeks wanaenda kua kama zimbabwe thamani ya pesa yao. Utabeba kapu kwenda kununua mkate. Wnanchi huko Russia saa hii wanahaha maana wameanza kuona utamu wa vikwazo very faster kuliko walivyo tarajia. Ingia stock exchange market yao uone hali ilivyo mbaya, ingia online angalia viwango vya thamani ya pesa yao usikitike.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Msichoke wakuu,endeleeni kuwapa somo hawa Pro Russia,ni kama wengi wao hata basic concepts za International Finance hawana kabisa.
 
hahaa uko nyumq sana kijana, Wa Ruusia washaanza kumkaataa putin, soon haiishi this week utashuhudia kitu tunakwambia, maandamano yatakua makubwa sana huko Russia, wanachofanya EU na Nato ni kungombanisha Putin na wananchi wake ili aikose support abaki kusort out internal issues. Hivyo vikwazo alivowekewa ni vibaya sana na vinaumiza watu very immediately, sasa hivi watu wanapanga fileni Bank huko Russia na hakuna pesa, kuongezeka kwa riba up to 20% imeishusha pesa ya Russia in one day kwa 30%, after 1 or 2 weeks wanaenda kua kama zimbabwe thamani ya pesa yao. Utabeba kapu kwenda kununua mkate. Wnanchi huko Russia saa hii wanahaha maana wameanza kuona utamu wa vikwazo very faster kuliko walivyo tarajia. Ingia stock exchange market yao uone hali ilivyo mbaya, ingia online angalia viwango vya thamani ya pesa yao usikitike.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Mie nipo Moscow hapa. mnayosema tofauti na tunayaona hapa.. mnalishwa matango pori na media za ulaya
 
wamagharibi wataongea lipi jema...........chagua cha kuamini hio ndo democracy
Mkuu wewe ndiyo unajua sana Financial Markets concepts kuliko wao? Hebu tuache utani kwenye mambo ambayo yapo wazi,kwamba wewe ni smarts kuliko Pundits wa masoko makubwa ya kifedha Duniani 😂.Unadhani kwa nini kumekuwa na Panic Moscow baada ya hivi vikwazo? Ni kwanini China amemute kumsupport rafiki yake mkubwa baada ya hizi sanctions?
 
aliepanic ni alietandikwa
Na aliyeomba kuzungumza na sasa naona current development amedindiwa ni nani? Unaleta usela nondo wa kizamani mbele ya Dunia ya sasa ya kutumia akili zaidi,haya mwambieni apress hiyo Nuke code kama kweli hiyo jeuri anayo.Aibu aliyoipata Georgia inakwenda kujirudia Ukraine,au hata hujui kama kule Georgia alichapika?
 
Unajua ktk ukweli na uhalisia unatakiwa uweke ushabiki pembeni,hiki ni kitu ambacho pro-Russia wanakisahau kaka.
Katika dunia ya sasa huna uzalishaji wa kutisha duniani,huna foreign reserve ya kushindana na wamagharibi na duniani una ushawishi haba kiuchumi ndugu usijaribu kushindana na America na washirika wake utaumia maana uchumi wameshikilia wao.
We unadhani EU na US watoe tamko mataifa yaliyo umoja wa mataifa UN wasishirikiane na Russia kiuchumi unadhani Russia inachomoka wapi!?
Huyu jamaa anataka kuleta reference za China ilhali China ni taifa ambalo tayari kiuchumi linashindana na hawa jamaa .
Dunia ya sasa nguvu ya uchumi ndio Kila kitu sio silaha km zamani.
Na China alivyo mnjanja katika hili kamwachia apambane na hali yake,ile tamu China aliyoonjeshwa kidogo tu kupitia kampuni ya Huwaei,hana hamu,nani kwa sasa anataka kutumia simu isiyo na apps za either Android au App store?
 
huyo kaongelea mining wakati hao wanatoa hizo kwa ambao tayari wanazo bitcoins na kwa ambao hawana serikali yenyewe inatoa currency yao kwahio hapo hata kama kuna issue ya mining atakae husika ni serikali na sio mtumiaji
Unamiliki Bitconis au Aina yoyote ya Hizi currency?.

Mimi mwaka jana nilitumia zaidi ya 6000USD kwa ajili ya kufanya mining(mimi nilikuwa navuna Ethereum) hela niliyovuna ilikuwa pesa ndogo sana, hadi nikashangaa all of those Hype, na hata nikashangaa Samia alivowaambia Benki kuu waziangalie.

Sehemu moja najua naweza au kumuelekeza mtu akatumie hivi vitu wakati wowote ni kwenye mitandao ya dark web.

Serikali zote Duniani ukitoa ambazo zinaongozwa na majambazi hakuna inayotumia Cryptocurrency kwa sasa, Benki kuu zote duniani zinataka kuondoa aspect ya Decentralize.

Cryptocurrency zinaweza kupanda kwa 90% leo kesho ikashuka kwa 91%
 
Elon musk mwenyewe alinunua bitcoin za kutosha na alikua anakubali malipo ya bitcoin kununua magari yake..........sema alisitisha sababu ya mambo ya renewable energy na wana mpango kurudisha tena hio njia ya malipo.................wewe unafanya mining bongo? Kuna nchi za kufanyia mining sio kila sehemu na miners wengi walikua china na nchi ambazo zinagharama ndogo za umeme wewe huu umeme wa bongo ulikua unajifurahisha tu....
.bongo nunua bitcoins tulia sikilizia kama zitapanda au kushuka huku ukitaka ufanye mining unapoteza muda wako tu................hio pesa ungeenda kula boliboli la azam tu
Screenshot_20220228-190025_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20220228-185917_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20220228-190134_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20220228-185917_Samsung Internet.jpg
 
We jamaa ficha upumbavu kidogo, unatia aibu na kinyaa. Wewe unajiona unashusha madini, ila unaongea ujinga kwa kiasi kikubwa. Ushabiki hauna nafasi kwenye uchumi.
Sasa wewe si ulete hizo facts zako tuzione ili tujidhihirishie huo "upumbavu" wa mwenzio unaousema,yani unamtolea mwenzio lugha ya kejeli na dharau wakati huo huo huna cha maana ulichocomment kudhihirisha huo "werevu" wako unaojifanya kuwa nao.
 
Unamiliki Bitconis au Aina yoyote ya Hizi currency?.

Mimi mwaka jana nilitumia zaidi ya 6000USD kwa ajili ya kufanya mining(mimi nilikuwa navuna Ethereum) hela niliyovuna ilikuwa pesa ndogo sana, hadi nikashangaa all of those Hype, na hata nikashangaa Samia alivowaambia Benki kuu waziangalie.

Sehemu moja najua naweza au kumuelekeza mtu akatumie hivi vitu wakati wowote ni kwenye mitandao ya dark web.

Serikali zote Duniani ukitoa ambazo zinaongozwa na majambazi hakuna inayotumia Cryptocurrency kwa sasa, Benki kuu zote duniani zinataka kuondoa aspect ya Decentralize.

Cryptocurrency zinaweza kupanda kwa 90% leo kesho ikashuka kwa 91%
Kumiliki digital currency sio lazima wewe mwenyewe uwe unafanya mining.....serikali zina data center na resources za kutosha kugharamia uzalishaji wake.....we unataka ufanye mining na umeme wako wa luku wa buku 20 tena hapohapo na bando lako la halotel.......labda ulikua unajifunza ila sio investment ya kuzalisha pesa...........watu wanahama nchi kabisa kwenda nchi ambazo zina gharama nafuu za umeme na data ili waweze kufanya mining weye unapiga kelele na hizo 6000USD kuna wengine wapo hukohuko ulaya na marekani ila kufanya mining hawawezi........mining sio kwa kila mtu
Screenshot_20220228-191058_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20220228-191552_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20220228-191504_Samsung Internet.jpg
 
Na aliyeomba kuzungumza na sasa naona current development amedindiwa ni nani? Unaleta usela nondo wa kizamani mbele ya Dunia ya sasa ya kutumia akili zaidi,haya mwambieni apress hiyo Nuke code kama kweli hiyo jeuri anayo.Aibu aliyoipata Georgia inakwenda kujirudia Ukraine,au hata hujui kama kule Georgia alichapika?
Nani aliekataa mazungumzo baadae akakubali?
 
We jamaa ficha upumbavu kidogo, unatia aibu na kinyaa. Wewe unajiona unashusha madini, ila unaongea ujinga kwa kiasi kikubwa. Ushabiki hauna nafasi kwenye uchumi.
Hahahaaaa...... Russia anatubu huko wewe endelea kunywa mbege hapo Kongwa kwa Ndugai!

ATCL imeshaondoka kuwaendea vijana wetu!

Hahahaaaa...... hahahaaaa...... hahahaaaa....... Putin bye bye!
 
Back
Top Bottom