Hii vita ni Makombora vs Vikwazo vya kiuchumi, mmoja anakaribia kuomba poo!

Hii vita ni Makombora vs Vikwazo vya kiuchumi, mmoja anakaribia kuomba poo!

Hawawezi kukuelewa hawa Pro Russia,sijui hawaoni panic iliyopo Russia na kilio cha Waziri wa Mambo ya Nnje anachokitoa baada ya hizo sanctions kuwa effected,wao wako busy na "Russia humuwezi ana Nukes za kutosha",Dunia ya leo nani anapigana vita vya maguvu peke yake na akafanikiwa.
Leo putin ameshakutana na washauri wake wa uchumi, baada ya leo tu thamani ya pesa yao kushuka thamani kwa kiwango kikubwa sana!!ambacho hakijawahi tokea kwa kipindi cha miaka 10!!na wamewataka wafanya biashara waanze kutunza pesa zao ktk pesa ya urusi.
 
Sasa wangekaa tu watizame.......hata hao walioshambuliwa wanajitetea kwani walibweteka tu?
 
Sasa wangekaa tu watizame.......hata hao walioshambuliwa wanajitetea kwani walibweteka tu?
Sio kukaa tu!!ila zamu hii kwa vikwazo hivi wananchi wake watakuwa na maisha magumu mnooo!!kwani karibu wababe wote wa dunia wameamua kumpa adabu!!!huwezi ukawa na ubabe wa kishamba kwa dunia hii ya sasa!!
 
Ukiona humu Hawa watu wanavyojadili ishu ya Russia na Ukraine ndio Tanzania Ina taahira wengi sana tofauti tu ni wanavaa nguo ni aibu
 
Sio kukaa tu!!ila zamu hii kwa vikwazo hivi wananchi wake watakuwa na maisha magumu mnooo!!kwani karibu wababe wote wa dunia wameamua kumpa adabu!!!huwezi ukawa na ubabe wa kishamba kwa dunia hii ya sasa!!
Kipindi anawekewa vikwazo alivyoimega crimea hakuomba kuondolewa vikwazo ila mabepari wenyewe waliona wamejipiga na kitu kizito kichwani wakaachia........hii inaenda kujirudia tena.......mchina akipata cheap resources toka kwa mrusi hakuna nchi ya kibepari itakayoweza kushindana nayo kwa lolote kiuchumi....kumbuka mmarekani na wenzake wanajitahidi kurudisha uzalishaji kwenye nchi zao ili wampunguze speed mchina........hili wanalofanya miaka michache ijayo litajibu
 
Wewe marafiki zako akina Kim Jong , sjui India , mara Iran , wote maskini tu hela hawana ...!!! China hela anayo Ila huo ujinga wa vita hawez fanya 😀😀😀
Vipi kuhusu tishio la kuishambulia Taiwan 🇹🇼 kwamba ni jimbo lake???
 
EU wanafanya biashara na Urusi kwa kiasi kikubwa mfano Finland inaitegemea soko la Urusi kwa asilimia zaidi ya 60. Hapo hujazugumzia Ujerumani na wengine.

Bidhaa muhimu kama gesi asilia na mafuta kwa 60% wananunua toka Urusi. Nani anafaidi hapo? Nani anaumia?
Wameshaapa watatafuta vyanzo vya nishati toka nchi nyingine

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
20220228_204455.jpg
 
Kipindi anawekewa vikwazo alivyoimega crimea hakuomba kuondolewa vikwazo ila mabepari wenyewe waliona wamejipiga na kitu kizito kichwani wakaachia........hii inaenda kujirudia tena.......mchina akipata cheap resources toka kwa mrusi hakuna nchi ya kibepari itakayoweza kushindana nayo kwa lolote kiuchumi....kumbuka mmarekani na wenzake wanajitahidi kurudisha uzalishaji kwenye nchi zao ili wampunguze speed mchina........hili wanalofanya miaka michache ijayo litajibu
Sasa huyo Mchina yu wapi sasa hivi kumsaidia rafiki yake? Unadhani Mchina yeye hajipendi,tangu alivyopigwa mkwara tena kidogo tu kupitia Huawei,alishaamua yeye adili na biashara tu.Huu ubabe wa maguvu kabaki nao Putin peke yake.
 
Vyanzo sio kama havipo,,,,,....ishu ni gharama,,........gharama ikiongezeka ni kwamba bidhaa zako zitakua ghali, na gharama za maisha za watu wako zitapanda
Vikwazo washamuwekea sasa,akae na gesi yake kama itamsaidia kitu,au unadhani yeye Russia hahitaji kuuza hiyo gesi nnje ya Nchi yake?
 
Vikwazo visikie, Iran mpaka ameshindwa kulipa mchango wake UN kwasababu ya ukata, kazidiwa na Tanzania nchi ndogo kwenye world statge.
Iran hajalipa UN sio kwa sababu hana hela, halipi UN kwa sababu haoni sababu ya kulipa,
UN imemsaidia nini Iran! UN ipo kwa maslahi ya wa magharibi tu.
 
Vikwazo washamuwekea sasa,akae na gesi yake kama itamsaidia kitu,au unadhani yeye Russia hahitaji kuuza hiyo gesi nnje ya Nchi yake?
Kwani mchina kasema haitaji?au wanunuzi ni mabepari tu........ngano yake wamesusia mchina anabeba tena anawaambia wananchi wake wazaliane kwa wingi msosi unakuja
 
Sasa huyo Mchina yu wapi sasa hivi kumsaidia rafiki yake? Unadhani Mchina yeye hajipendi,tangu alivyopigwa mkwara tena kidogo tu kupitia Huawei,alishaamua yeye adili na biashara tu.Huu ubabe wa maguvu kabaki nao Putin peke yake.
Sasa sapoti lazima ukapigane ?wewe utaona mchina atakapoingia kwenye hii issue na wala hatajihusisha na vita kama urusi ......yeye atampiga huyo beberu wenu kiuchumi maana atapata resources za kutosha na kwa bei rahisi toka kwa mrusi
 
Naona mmevurugwa haswa,fanyeni kutetema sasa kama Mayele,mlidhani mziki wa Ukraine ni mwepesi kama Crimea,ya Georgia yanakwenda kuwakuta tena.
Abramovic huko anamposa mzee wenu wa comedy
 
Back
Top Bottom