Na ndio ukweli wenyewe bro.
Vita gharama,nani anataka Mambo ya mwaka 1938-1945 WWII!?
ASA hivi ukileta ubabe watu wanakunyima tonge tuone ukiwa na njaa utafanyaje ubabe.

Duh aisee umenisanua hapo. Inawezekana sana kwamba Uchumi unaenda kuzidi nguvu Silaha