Kaka mm ni mshabiki wa Iran,ila Iran inajikaza lakini hali ngumu bro.Bado baba lao Iran. Ukijumlisha vikwazo vyote walivyopewa hao, havifikii alivyopewa Iran, lkn bado inadunda tu.
Hiyo Syria Kila kukicha wananchi wanavuka boda kuingia Turkey kusaka maisha,Korea kaskazini ni miongoni mwa mataifa yenye poor food security km Kenya.
Economic sanctions ni mbaya kaka acha kabisa .