Usiwe na akili kama za Samia kuiambia Benki kuu ianze Kufanya legal transaction za Cryptocurrency.
Sifa ya kwanza ya Crypto currency ni decentralized (All Blockchain technology should be this way), nje ya hapo hiyo siyo cryptocurrency.
Duniani kote ni nchi moja tu ndio Cyrptos ni legal tender (El Salvador) Uchina, USA, Hata Iran walijaribu ila Hadi kesho hawajaanza kuzitumia sababu ya hiyo Sifa ya kwanza (maana yake Serikali haitaweza kujua source Wala destination ya miamala).
Wewe hata ukiwa na Bitcoin 10 now utakachoweza kuinunulia now ni Child Porns, vitu vya magendo na baadhi ya vitu mitandaoni, but kwenye uchumi halisia Cryptocurrency Bado sana sana.
Cryptocurrency zinazungukaje au zinatengenezwaje.
1. Mining(kupata zawadi ya cryptocurrency) baada ya kuthibitisha muamala kwenye network ya hizi cryptocurrency (Blockchain)
Hii process in expensive sana, unahitaji uwe na computer nzuri, umeme, na cooling centers running 24/7 hii investment inahitaji fiat currency.
Gharama ya chini kwa mtu wa Kawaida kupata at least some profit kwa njia hii ni kuwa na computer ambayo utaipata kwa angalau Million 5 ya Tanzania.
2. Malipo Halali (Haya ni machache sana, hata hao Russia asilimia ya hawajawahi kununulia mkate)
Watu wengi huuziwa Hizi Bitcoins mwisho wa siku wanakosa kwa kuzitumia.
Cryptocurrency haziwezi kureplace Fiat currency labda next 20 years tena kuwe na global crisis ya aina yake na Kila mtu azielewe