johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Simple tuu 😀😀😀Makombora na vita ya uchumi sasa si unawafumua tu wanaosumbua wote wafe tu
Bado mapema Sana kuona madhara yake....upe muda nafasi.Syria na vikwazo vyote aluvyowekewa vipi umeona wameyumba? Korea kaskazin Cuba vipi
Vikwazo anavyowekewa Russia ni tofauti kabisa bwashee.Syria na vikwazo vyote aluvyowekewa vipi umeona wameyumba? Korea kaskazin Cuba vipi
Nimekuelewa sana bwashee!Wewe marafiki zako akina Kim Jong , sjui India , mara Iran , wote maskini tu hela hawana ...!!! China hela anayo Ila huo ujinga wa vita hawez fanya 😀😀😀
Uandishi wa kishabiki huu, kwan ile vita ya magufuli aliekuwa anaizungumzia ndio kama hii au hukumuelewa??? Hizi hotuba za marais ziwe zinafanyiwa tafsiri nashauri maana wananchi huku hawaelewi kitu.Kama una kijana wako anasoma Russia basi ujue hali ya utumaji fedha nchini humo imeanza kutatizika mifumo ya benki kuu yake imeelemewa na mingine haina access na International systems.
Wewe unapiga kwa makombora mwenzako anautandika uchumi wako ni lazima ama uombe poo au ukimbilie nyuklia kwa kuchanganyikiwa.
Vita ya uchumi ni mbaya sana, huu ulikuwa ni wosia wa mwisho wa Rais Magufuli pale St Peters Oysterbay.
Mungu wa mbinguni mpumzishe kwa amani Joseph Magufuli!
Utaelewa muda siyo mrefu bwashee.Uandishi wa kishabiki huu, kwan ile vita ya magufuli aliekuwa anaizungumzia ndio kama hii au hukumuelewa??? Hizi hotuba za marais ziwe zinafanyiwa tafsiri nashauri maana wananchi huku hawaelewi kitu.
Kile cha russia sasa sio vita ya uchumi vile ni vikwazo vya uchumi.
Vita ya kiuchumi ni kama ile ya china na marekan juu ya 5g tec au i phone na huwawei nk.
Lakin kwa kukuondolea hofu vikwazo vya kiuchumi nchi kibao zimewekewa na bado watu wanaishi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu nikusifu sentence yako ya Mwisho.Kama una kijana wako anasoma Russia basi ujue hali ya utumaji fedha nchini humo imeanza kutatizika mifumo ya benki kuu yake imeelemewa na mingine haina access na International systems.
Wewe unapiga kwa makombora mwenzako anautandika uchumi wako ni lazima ama uombe poo au ukimbilie nyuklia kwa kuchanganyikiwa.
Vita ya uchumi ni mbaya sana, huu ulikuwa ni wosia wa mwisho wa Rais Magufuli pale St Peters Oysterbay.
Mungu wa mbinguni mpumzishe kwa amani Joseph Magufuli!
Ni vita ya uchumi... Au haujui Russia na yeye analipiza kama anavyofanyiwa?Uandishi wa kishabiki huu, kwan ile vita ya magufuli aliekuwa anaizungumzia ndio kama hii au hukumuelewa??? Hizi hotuba za marais ziwe zinafanyiwa tafsiri nashauri maana wananchi huku hawaelewi kitu.
Kile cha russia sasa sio vita ya uchumi vile ni vikwazo vya uchumi.
Vita ya kiuchumi ni kama ile ya china na marekan juu ya 5g tec au i phone na huwawei nk.
Lakin kwa kukuondolea hofu vikwazo vya kiuchumi nchi kibao zimewekewa na bado watu wanaishi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una kijana wako anasoma Russia basi ujue hali ya utumaji fedha nchini humo imeanza kutatizika mifumo ya benki kuu yake imeelemewa na mingine haina access na International systems.
Wewe unapiga kwa makombora mwenzako anautandika uchumi wako ni lazima ama uombe poo au ukimbilie nyuklia kwa kuchanganyikiwa.
Vita ya uchumi ni mbaya sana, huu ulikuwa ni wosia wa mwisho wa Rais Magufuli pale St Peters Oysterbay.
Mungu wa mbinguni mpumzishe kwa amani Joseph Magufuli!
Syria na vikwazo vyote aluvyowekewa vipi umeona wameyumba? Korea kaskazin Cuba vipi
Hahahaaaa....... Analipiza wapi watu wamefoleni benki hela hakuna.Ni vita ya uchumi... Au haujui Russia na yeye analipiza kama anavyofanyiwa?
Hii ngoma bado mbichi bwasheeee...Kama una kijana wako anasoma Russia basi ujue hali ya utumaji fedha nchini humo imeanza kutatizika mifumo ya benki kuu yake imeelemewa na mingine haina access na International systems.