π€£π€£π€£Dah hili jina una fanya nicheke Sana, sio lucas mwandambo tena π π.
Hujambo we mke wa mwandambo ππ€£π€£π€£
Me mpwa wakeHujambo we mke wa mwandambo π
Haya mpwa msalimie mjomba ako, soon ajiandae kuni kimbiza kwa kumuulizia na mpwa wake.Me mpwa wake
Sijapo kipenz
Foleni ni ndefu kuwa mvumilivu tu πDah,
Tusiandikie mate..
Nipe location na muda tukafanye kweli
π€£π€£Haya mpwa msalimie mjomba ako, soon ajiandae kuni kimbiza kwa kumuulizia na mpwa wake.
Golani kwenyewe nime pajulia humu tena mwaka huu, sema una paogopa kishenzi ππ€£π€£π€£
Usiwe wa golani maana mh
Yan Kama navoogopa risasi za gavooGolani kwenyewe nime pajulia humu tena mwaka huu, sema una paogopa kishenzi ππ€£
Haya ondoa wasi haukai huko tena, ila siku uki niudhi nakupeleka ukafanye tour golani worldwide πYan Kama navoogopa risasi za gavoo
Ahahahaha alafu vishu fanya uje hapa ujuane na hawa wa mama sio siku naenda Dom unaanza kushangaa hapaVingi sana mkuu.
Ningekua daktari wenu humu, ni vile sikua serious.
Ona sasa hivi namsumbua Poor Brain aniajili kuweka muvi kwa wamama wa mtaani kwake.
Binti wa zamani haijashindikana bado, nishachora na tatoo nimeandika na jina Mallerina π, Harmful shahidi yangudosho12 njoo umjibu ππAunty
Aliii liii liiii liiiiiiiiii, aunty tayari vigelegele nimeviandaa. Nawasubiiri nyinyi tu wapendanao πBinti wa zamani haijashindikana bado, nishachora na tatoo nimeandika na jina Mallerina π, Harmful shahidi yangu
Hapo Bado Binti tu akupoteze tuanze kukutafuta kama mboso πBinti wa zamani haijashindikana bado, nishachora na tatoo nimeandika na jina Mallerina π, Harmful shahidi yangu
Acha wivu, muache mapenzi yamuendeshe kwa raha kidogo, akimalizana nayo atakuja kutushushia uzi humu π na nyimbo za Miguel na the weeknd za kulia lia!Hapo Bado Binti tu akupoteze tuanze kukutafuta kama mboso π
ππHio tattoo sijajua utakujaga kuifuta na niniBinti wa zamani haijashindikana bado, nishachora na tatoo nimeandika na jina Mallerina π, Harmful shahidi yangu
πΉIla AuntyAliii liii liiii liiiiiiiiii, aunty tayari vigelegele nimeviandaa. Nawasubiiri nyinyi tu wapendanao π
Nita iedit na kuwa malleria inauawa π
Kwani huna wivu πKwahiyo Mimi Nina wivu daah unanikabiaga juu kweli π
ππππNita iedit na kuwa malleria inauawa π