Hii wiki itakuwa ndefu sana - karibu tuzogoe!

Hii wiki itakuwa ndefu sana - karibu tuzogoe!

Sasa Mimi haja ya vigezo ya nini wakati napewa vya undugu 😂

Me sina ndoto ya mahusiano kwako wala najua hitaji langu nikilia tu lazma unionee huruma mtoto wa kaka ako 😂😂😂
Acha nicheke tu huku najiandaa kukuanzishia kesi kwa kaka yangu!

giphy.gif
 
Back
Top Bottom