Hebu njoo tuone π€£π€£
Nakuja πHebu njoo tuone π€£π€£
Labda wewe mwenyewe ndiyo zawadi π na hujuiNakuja π
Uzuri wangu me nakuja bila zawadi na SI ulizwi wala nini huoni Raha ya nafasi yangu πππ
Upendo wako haujifichi ila naomba usinipende tutaharibiana maisha πππLabda wewe mwenyewe ndiyo zawadi π na hujui
Laiti ungejua π€£π€£Upendo wako haujifichi ila naomba usinipende tutaharibiana maisha πππ
Sihitaji kujua πππLaiti ungejua
Udugu wetu udumu milele πsiwezi kukuharibia maisha mpwa, usiogope π€£ ila ungekua siyo mtoto wa kaka, nisingekuonea huruma.
Sihitaji kujua πππ
Udugu wa kufaana πUdugu wetu udumu milele π
Au unataka kuniambia π
Sitaki π π€£Au unataka kuniambia π
Hutak nini sasa hebu sema japo kidogo πSitaki π π€£
Au hutaki kusema mbele za watu nigonge hodi pm π
Hebu usinichoshe π€£π€£π€£Au hutaki kusema mbele za watu nigonge hodi pm π
Toa ruhusa hapo nivamie private na makombora yangu πHebu usinichoshe π€£π€£π€£
Kwa hali niliyonayo sasa, hapana π€£Toa ruhusa hapo nivamie private na makombora yangu π
Una Hali gan πKwa hali niliyonayo sasa, hapana π€£
Hali ilishaisha na bora nilizima simu π€£π€£π€£π€£Una Hali gan π
π€£π€£πββοΈHaya ondoa wasi haukai huko tena, ila siku uki niudhi nakupeleka ukafanye tour golani worldwide π
Razorblade, Selikavu, adriz huyu mtoto karogwa nini π πBinti wa zamani haijashindikana bado, nishachora na tatoo nimeandika na jina Mallerina π, Harmful shahidi yangu