ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Poleni sana chief...Arusha huku mambo si mambo
Amen...[emoji120]Poleni sana.
Huku kwetu sisi wazima, sifa na utukufu kwake Muumba wa Mbingu na Dunia
Pole sana kijana, nakuombea kwa Mungu upone haraka..Ila kweli maana ninamaralia hatari toka juzi.
Hongera zako tele mkuuMimi nipo fiti hatar mpka najiogopa napiga zoezi la hatar sana
Nini mbaya? Me na majirani zangu huku tuko wazima hata vikohozi sijavisikia...Arusha huku mambo si mambo
Vipi bebi mama and yo kid, hawajambo..??Itabidi warudishe wiki ya nyungu waongezee na wiki ya kupiga bomba,
[emoji38][emoji38]
Hawajambo kabisa, kijamaa kisumbufu sana.Vipi bebi mama and yo kid, hawajambo..??