ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Watanzania wengi sana wanaumwa huu mwezi nadhani ni kwa sababu ya hali ya hewa.hakuna mwanafamilia ambaye hajashikwa na mafua, kikohozi, bawasili, UTI, Tumbo, homa, kuongea mwenyewe barabarani, viungo na kutapika