Kamishna ndio nini iwe Mbumbumbu?Itakuwa hajaripwa kamishna zake
Mkuu, inawezekana baada ya waandishi kumpamba akaona (shauriwa) apime kina cha maji kwnye mechi hii.inawezekana mganga wake kamwambia halafu yanga timu ya ajabu kawaida daktari wa timu ndiye anatoa ripoti kwa kocha wachezaji gani wazima au wagonjwa ila la ajibu linaweza kuwa ajabu la nane duniani yeye ndio anamwambia kocha anaumwa ina maana yanga hawana daktari wa timu
ndio anaumwa kwa hiyo nini kwani au yeye ni robot eee nauliza mikia fc ,wale kmc walikamia sana mechi ya jana lakini wakaachia tu.kaseja amekoswa nyingi sana sana
Hahaha.. Mashabiki wa ndala kwanini mnakua na hasira hivi.. Tatizo ni nini?Kamishna ndio nini iwe Mbumbumbu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kamishna ndio nini iwe Mbumbumbu?
Hata Kiswahili nacho ni shida, Kingereza itakuwa vipi?Itakuwa hajaripwa kamishna zake