Hii ya dume kutumia avatar ya kike imekaa vipi?

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Nilikuwa nimeshasikia lakini sikuamini kuwa, kuna midume humu inayotumia avatar ya kike ili kudanganya watu kuwa wao ni wanawake! Inaonekana jambo hili ni kweli. Watu wanajikuta wametembelea pm za midume mitapeli inayopozi kama wasichana warembo!
Hebu wenye uzoefu tuelezeni jinsi ya kuwagundua watu kama hao. Nawasilisha.
 
Mpeane namba alafu muonane ikiwezekana
 
Usimfuate PM mwanamke wahivi

[emoji117]Ambaye toka ajiunge JF hajawahi Kupost ( kutoa uzi wake).
[emoji117]ambaye kwenye koment zake anasema ivi "* aisee, hahaa, good ,OK , sawa"* ..yaan short answer.
[emoji117]Ambaye anaandika Nyuzi za Aibu aibu ambazo kiuhalisia mwanamke hawezi andika.
[emoji117]mwanamke anayeandika mambo kwa uchambuzi Wa hali juuu yaaaan kama nimambo ya Kisiasa/Kidunia yeye anajua sanaaaaaa akiandika mpaka unasema yes ...( kikawaida wanawake Wa wavivu wakufatilia izo mambo ,,wanawake wapo obsessed na mambo yanayowapa Furaha tu (ndo maana utakuta mwanamke anaolewa nachoka mbaya akat kwao wapo vzuri ).
[emoji117]*Kwenda kwa makini ktk ID za wanawake ambao anamiaka mingi 2+++ lkn anapost Mbili au tatu).
[emoji117]ID za namna hiii huwa wanakua na ID mbili moja yakiume , moja ya kujifanya jike
[emoji117]ID wanaolia sana kuumizwa na wanaume wao ,, alafu ukifatilia komenti zake , unagundua alikua analia kinafiki..looking for a Mercy

[emoji117]Hizi nibaadhi ya Viashiria ambavyo ukiviona anza kutia mashaka.

Sasa mnaweza endelea kufatilia Ninani ni nani kupitia izo hints .

NB... Kwa uchunguzi Wangu usokua Rasimi
 
Habari chief....nakusalimiaa [emoji1][emoji1][emoji113]
 
Back
Top Bottom